Mwamba Mbowe kuivamia Serengeti kueneza upendo wa katiba

Mwamba Mbowe kuivamia Serengeti kueneza upendo wa katiba

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Nasema hivi,

Nasema hiviiii wana cdm bado tupo imara.

Kesho timu ya cdm ikiongozwa na Mwamba wa siasa za mageuzi nchini mh Freeman Mbowe kesho atatua mjini SERENGETI.

Turaendelea kuuwasha moto wa 255 katiba mpya na moto wa kutoa elimu juu ya uwekezaji wa bandari zetu.
---

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kesho Agosti 25, 2023 kinatarajia kuzindua oparesheni #255KatibaMpya na #OkoaBandariZetu kwa Kanda ya Serengeti, ambapo uzinduzi huo utafanyika Mjini shinyanga.

Oparesheni kwa njia ya anga itaongozwa na Freeman Mbowe na Oparesheni ya ardhi itaongozwa na Tundu Lissu.
 
Anatuhusu nini sisi tunajua mwenyekiti wa chadema ni dk slaa!
 
Back
Top Bottom