JMWAKA JF-Expert Member Joined Jun 18, 2012 Posts 739 Reaction score 652 Feb 22, 2014 #1 Kama wabunge wangepewa posho ya 200,000 si ingewatosha kabisa kuanzia malazi chakula na kila kitu kwani huko wameenda kuvuna au kulitumikia Taifa... kama wanaweka mawazo ya kujipenda wao zaidi kulipendaTaifa hakumo ndani yao
Kama wabunge wangepewa posho ya 200,000 si ingewatosha kabisa kuanzia malazi chakula na kila kitu kwani huko wameenda kuvuna au kulitumikia Taifa... kama wanaweka mawazo ya kujipenda wao zaidi kulipendaTaifa hakumo ndani yao