Mwamba wa Hiphop halisi, Saigon 'Treach' wa iliyokuwa D.P.T ana masahibu gani hivi?

alianza kuyumba baada ya kufiwa na mkewe.....haya mambo haya yani Saigoni mambo yanamuendea kombo baada ya kufiwa na mkewe huku babu Tale yeye ananenepa mpk mata.ko baada ya kufiwa na mkewe.....
 
Kari ni karinye ni mzuka ebwanaaah oooooooi oooooooi.
Elimika- nufaika-makinika

Kuna namna yake alikua anatamka haya maneno. Na style yake ya kufunga kitambaa .. hakafu kuna kibwagizo cha tarib kweli wanakiweka "the real hiphop is over here"

Ths guy ni talented yaani
Huchoki kumsikiliza kabisa kabisa...
 
Daah uko vzr mkuu.
 
alianza kuyumba baada ya kufiwa na mkewe.....haya mambo haya yani Saigoni mambo yanamuendea kombo baada ya kufiwa na mkewe huku babu Tale yeye ananenepa mpk mata.ko baada ya kufiwa na mkewe.....
😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…