Mwamba yupo Dar es Salaam, Jean Marc Mundele Makusu

Mwamba yupo Dar es Salaam, Jean Marc Mundele Makusu

homeless1

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2020
Posts
427
Reaction score
950
.
FB_IMG_16391297084607424.jpg
 
Jean Marc Mundele Makusu, huyu jamaa alikuwa mtu na nusu sana, ijapokuwa sijui perfomance yake hivi sasa uko Orlando Pirates.
 
Jean Marc Mundele Makusu,huyu jamaa alikuwa mtu na nusu sana,ijapokuwa sijui perfomance yake hivi sasa uko Orlando Pirates.
Huku mzanzsi Africa kusema ukweli mara ya mwisho mie kumuona uwanjani sijui ni lini,, mana mie pie ni mshabiki wa pirates,, inaweza kuwa ndugu zetu wameuziwa mbuzi kwenye roba,, hiyo performance ya huyu jamaa mnayoyizungumzia ni enzi za mwalimu,,,
 
Back
Top Bottom