mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,661
- 1,267
Swadakta mzee mwanakijiji,hawamuoni mwenzao Lowasa pamoja na kashfa zinazomwandama wananchi jimboni mwake huwaambii kitu kuhusu yeye,coz anajua kula nao,anawapa mwanga ili aopoe tena kura zao,sio wao full time Dar,alafu malalamiko lukuki!!Hawa watu wananitibua kweli; kama wameshindwa kufanya mambo ya maendeleo kwenye majimbo yao wanafikiri watachaguliwa kwa sababu wanalia lia na mafisadi? Nani aliwaambia kuwa wana hati miliki ya majimbo?
JF haipo kuridhisha watu, kama unataka tuandike unachokipenda, utakuwa umekosea njia kuja JF.
Mwambalaswa hana lolote zaidi yua kuomba huruma ya wananchi. Naona hata kasalimu amri kwa mafisadi, akiombea apewe huruma.