Mie mzima tu hofu ni wako wewe ulioko mbali na upeo wa macho yangu...............!
Ningemwambie kuwa amweleze kuwa...."yeye si malaya na ni mke/GF wa rafiki yake".......Na iakizidi kusumbua basi awe mbayuwayu!!
Mie nitakwendaje kusema hayo maneno wakati siwezi kuthibitisha pasipo shaka yoyote kwamba yeye si malaya na hatambei na marafiki zangu wengine ambao amewazimia? Bora abebe mzigo wake!
Babu DC!!!
Ushauri, marafiki msiwalete nyumbani kwa wake zenu....
Ushauri, marafiki msiwalete nyumbani kwa wake zenu....
Mkeo akikwambia haya maneno jua ni mtu mbaya sana na hakufai,actually akishayasema muulize...'na siku ukitiwa utakuja uniambie?'Mwambie yule rafiki yako asipende kunizoea, mwambie mimi siyo Malaya. Yaani mtu anajidai wewe ni rafiki yake, halafu anakuja kunitongoza !
Hebu tuchukulie kwamba kauli hiyo anaitoa mkeo au mpenzi wako Je wewe utachukuwa hatua gani .?
Bishanga .....Ni kweli kabisa mkuu, maana hata mimi hawa mabinti wanaojipitisha humu JF na vimini na vipedo vyao huku wakijichekesha na kunirembulia mbona sijawa kumwambia.................awaambie wanikome?Mkeo akikwambia haya maneno jua ni mtu mbaya sana na hakufai,actually akishayasema muulize...'na siku ukitiwa utakuja uniambie?'
Bishanga .....Ni kweli kabisa mkuu, maana hata mimi hawa mabinti wanaojipitisha humu JF na vimini na vipedo vyao huku wakijichekesha na kunirembulia mbona sijawa kumwambia.................awaambie wanikome?
"Mwambie yule rafiki yako asipende kunizoea, mwambie mimi siyo Malaya. Yaani mtu anajidai wewe ni rafiki yake, halafu anakuja kunitongoza…………!"
Hebu tuchukulie kwamba kauli hiyo anaitoa mkeo au mpenzi wako………………Je wewe utachukuwa hatua gani………….?
hapo mkuu tutabishana mpaka asubuhi,mwanamke wa kukutamkia haya maneno ni mchonganishi kizabinazabina,ukimuendekeza atakuchonganisha na ndugu.That will be gross irresponsibility kumweleza mwenzio mambo madogo madogo kama hayo.....!!
Babu DC!!