Mwambie mdogo wako anaenda shule kusomea taaluma sio kazi, anaweza kusoma uhasibu akawa dobi

daah sijasoma chuo roho yangu inauma kweli _katika vitu vinavyotesa akili yangu ni hicho tu


"Nje ya box "
 

Umenena 99.99 ukweli mtupu
 
Hakika ni maneno ya busara mkuu...
 
[emoji1666] Mwenye macho na amesoma, mwenye ndugu amfikishie ujumbe.

Ubarikiwe.
 
No.15 sijaikubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…