Mwambieni Ali Kamwe na utopolo wenzake hamna kitu kinaitwa mashindano ya CAF, Kuna Cafcl na Cafcc

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Mwambieni bwana mdogo Kuna Caf champions league "Cafcl" na kombe la malooser" CAF confederation cup 'cafcc'.

Tofauti zake ni kuwa Cafcl ni ligi kwaajili ya mabingwa tu na hyo nyingine ni kombe la shirikisho ni Kama viti maalumu tu vya wanawake pale bungeni..

Mwambieni ache kupoteza watu maboya kuwaambia kombe la CAF ,,hamna kitu Kama hocho CafCL ni dude kubwa sio Kama Cafcc
 
Mwambieni bwana mdogo Kuna Caf champions league "Cafcl" na kombe la malooser" CAF confederation cup 'cafcc' ...
Tofauti zake ni kuwa Cafcl ni ligi kwaajili ya mabingwa tu na hyo nyingine ni kombe la shirikisho ni Kama viti maalumu tu vya wanawake pale bungeni....
Bora umesema..hata humu wapo sasa sijui ndio huyo huyo ..wanajificha kwenye kivuli cha neno CAF..ukiwaambia wamalize kuandika hawataki.
 
Simba Iko ligi ya mabingwa, swali, kwani Simba ni bingwa wa nchi Gani?

CAF inatakiwa kuheshimu mpira ligi ya mabingwa zicheze timu bingwa tu!
wewe ni mtambo... chelsea ipo UEFA kwani ni bingwa wa nchi gani?
 
Kwa hiyo FA cup siyo mashindano ya TFF, ficha basi uzandiki.
FA kuwa mashindano ya Tff haina maana yawe sawa na ligi..

Hivi tff wanapanda
Nbc premier league
Championship
First league
Na FA..

Hiv hayo mashindano yanafanana? Bingwa wa first league anaweza kumdharau anaeshika nafasi ya 12 Premier league?
 
Mwambieni bwana mdogo Kuna Caf champions league "Cafcl" na kombe la malooser" CAF confederation cup 'cafcc' ...
Tofauti zake ni kuwa Cafcl ni ligi kwaajili ya mabingwa tu na hyo nyingine ni kombe la shirikisho ni Kama viti maalumu tu vya wanawake pale bungeni...
Amka kumekucha muzee....usije haribu.
 
Mwambieni bwana mdogo Kuna Caf champions league "Cafcl" na kombe la malooser" CAF confederation cup 'cafcc' ...
Tofauti zake ni kuwa Cafcl ni ligi kwaajili ya mabingwa tu na hyo nyingine ni kombe la shirikisho ni Kama viti maalumu tu vya wanawake pale bungeni..

Mwambieni ache kupoteza watu maboya kuwaambia kombe la CAF ,,hamna kitu Kama hocho CafCL ni dude kubwa sio Kama Cafcc
Kwaiyo wewe ni bingwa wa nini labda ebu tueleze?
 
Mwambieni bwana mdogo Kuna Caf champions league "Cafcl" na kombe la malooser" CAF confederation cup 'cafcc' ...
Tofauti zake ni kuwa Cafcl ni ligi kwaajili ya mabingwa tu na hyo nyingine ni kombe la shirikisho ni Kama viti maalumu tu vya wanawake pale bungeni....
Unastahili kupimwa mkojo wewe.
Mtoto mkubwa
Mtoto mdogo
Wote ni watoto.

CL na CC yote ni mashindano yaliyo chini ya CAF
 
Lakini yana viwango na heshima tofauti
Unastahili kupimwa mkojo wewe.
Mtoto mkubwa
Mtoto mdogo
Wote ni watoto.

CL na CC yote ni mashindano yaliyo chini ya CAF
 
Nini maana ya Confederation Cup?

Mbona mnajidhalilisha Sana nyie Mbumbumbu?

Halafu kipindi mnaroga pale Sauzi halikuwa kombe la Looser?
Wakibisha ushahidi huu hapa....
 
Mwambieni bwana mdogo Kuna Caf champions league "Cafcl" na kombe la malooser" CAF confederation cup 'cafcc'.

Tofauti zake ni kuwa Cafcl ni ligi kwaajili ya mabingwa tu na hyo nyingine ni kombe la shirikisho ni Kama viti maalumu tu vya wanawake pale bungeni..

Mwambieni ache kupoteza watu maboya kuwaambia kombe la CAF ,,hamna kitu Kama hocho CafCL ni dude kubwa sio Kama Cafcc
Akili ndogo, sasa kama hakuna mashindano ya CAF kwann iitwe CAFCC?? toa basi hilo neno CAF ibaki cc pekee, na kama CAFCL wanashiriki mabingwa tu Simba ni bingwa wa Ligi gani?? Chambueni mpira Kwa uhalisia siyo Kwa ushabiki..
 
Back
Top Bottom