mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Bora umesema..hata humu wapo sasa sijui ndio huyo huyo ..wanajificha kwenye kivuli cha neno CAF..ukiwaambia wamalize kuandika hawataki.Mwambieni bwana mdogo Kuna Caf champions league "Cafcl" na kombe la malooser" CAF confederation cup 'cafcc' ...
Tofauti zake ni kuwa Cafcl ni ligi kwaajili ya mabingwa tu na hyo nyingine ni kombe la shirikisho ni Kama viti maalumu tu vya wanawake pale bungeni....
Yalienda na kibuyuNini maana ya Confederation Cup?
Mbona mnajidhalilisha Sana nyie Mbumbumbu?
Halafu kipindi mnaroga pale Sauzi halikuwa kombe la Looser?
Confederation cup ni Kama fa tu anaweza kushiriki hata Mbinga FcNini maana ya Confederation Cup?
Mbona mnajidhalilisha Sana nyie Mbumbumbu?
Halafu kipindi mnaroga pale Sauzi halikuwa kombe la Looser?
Kwa hiyo FA cup siyo mashindano ya TFF, ficha basi uzandiki.Confederation cup ni Kama fa tu anaweza kushiriki hata Mbinga Fc
Simba alipoibeba Yanga wakaenda wote Club Bingwa, Yanga alikuwa Bingwa wa Nchi gani?Simba Iko ligi ya mabingwa, swali, kwani Simba ni bingwa wa nchi Gani?
CAF inatakiwa kuheshimu mpira ligi ya mabingwa zicheze timu bingwa tu!
Tottenham ilikuwa champions League kwani ilikuwa ni bingwa WA Uingereza?Simba Iko ligi ya mabingwa, swali, kwani Simba ni bingwa wa nchi Gani?
CAF inatakiwa kuheshimu mpira ligi ya mabingwa zicheze timu bingwa tu!
wewe ni mtambo... chelsea ipo UEFA kwani ni bingwa wa nchi gani?Simba Iko ligi ya mabingwa, swali, kwani Simba ni bingwa wa nchi Gani?
CAF inatakiwa kuheshimu mpira ligi ya mabingwa zicheze timu bingwa tu!
FA kuwa mashindano ya Tff haina maana yawe sawa na ligi..Kwa hiyo FA cup siyo mashindano ya TFF, ficha basi uzandiki.
Amka kumekucha muzee....usije haribu.Mwambieni bwana mdogo Kuna Caf champions league "Cafcl" na kombe la malooser" CAF confederation cup 'cafcc' ...
Tofauti zake ni kuwa Cafcl ni ligi kwaajili ya mabingwa tu na hyo nyingine ni kombe la shirikisho ni Kama viti maalumu tu vya wanawake pale bungeni...
Kwaiyo wewe ni bingwa wa nini labda ebu tueleze?Mwambieni bwana mdogo Kuna Caf champions league "Cafcl" na kombe la malooser" CAF confederation cup 'cafcc' ...
Tofauti zake ni kuwa Cafcl ni ligi kwaajili ya mabingwa tu na hyo nyingine ni kombe la shirikisho ni Kama viti maalumu tu vya wanawake pale bungeni..
Mwambieni ache kupoteza watu maboya kuwaambia kombe la CAF ,,hamna kitu Kama hocho CafCL ni dude kubwa sio Kama Cafcc
Unastahili kupimwa mkojo wewe.Mwambieni bwana mdogo Kuna Caf champions league "Cafcl" na kombe la malooser" CAF confederation cup 'cafcc' ...
Tofauti zake ni kuwa Cafcl ni ligi kwaajili ya mabingwa tu na hyo nyingine ni kombe la shirikisho ni Kama viti maalumu tu vya wanawake pale bungeni....
Unastahili kupimwa mkojo wewe.
Mtoto mkubwa
Mtoto mdogo
Wote ni watoto.
CL na CC yote ni mashindano yaliyo chini ya CAF
Wakibisha ushahidi huu hapa....Nini maana ya Confederation Cup?
Mbona mnajidhalilisha Sana nyie Mbumbumbu?
Halafu kipindi mnaroga pale Sauzi halikuwa kombe la Looser?
Si ndo kama ninyi mnashiriki wakati ni mabingwa wa mapinduzi cupConfederation cup ni Kama fa tu anaweza kushiriki hata Mbinga Fc
Akili ndogo, sasa kama hakuna mashindano ya CAF kwann iitwe CAFCC?? toa basi hilo neno CAF ibaki cc pekee, na kama CAFCL wanashiriki mabingwa tu Simba ni bingwa wa Ligi gani?? Chambueni mpira Kwa uhalisia siyo Kwa ushabiki..Mwambieni bwana mdogo Kuna Caf champions league "Cafcl" na kombe la malooser" CAF confederation cup 'cafcc'.