Mwambieni Chama wenu aache kumsumbua tajiri Mo Dewji kwa kumpigia simu na kumuomba aje amalizie mpira Simba SC

Ni jambo la kutafakari sana kuona Aston Villa ikicheza robo fainali za UEFA wakati Man United haijawahi kushiriki hata kwenye hatua ya mtoano tangu kuondoka kwa Sir Alex Ferguson
Sio kweli, 2018/19 waliingia.
 
Mh! sema mnataka mumrudishe sio kwamba anaomba kurudi!
 
Chama abaki kwenye timu ya ndoto zake huko utopoloni.
Hapa Simba kwa sasa Mpanzu na Ahoua ndiyo habari ya mjini.
 
Ni jambo la kutafakari sana kuona Aston Villa ikicheza robo fainali za UEFA wakati Man United haijawahi kushiriki hata kwenye hatua ya mtoano tangu kuondoka kwa Sir Alex Ferguson
Ana UEFA huyo... Ambalo hata Asernal hana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…