GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Nautaka Uongozi wa Soko la Kariakoo uniletee Nyaraka zote za Soko hili kabla halijaungua July 10 mwaka jana" Waziri TAMISEMI Angellah Kairuki.
Chanzo: TAMISEMI
Akishindwa naomba mniahidi GENTAMYCINE kuwa nikivipata kwa Kuzamia katika Majivu na Kifusi nami mtanichangia Pesa, mtaniita Shujaa na Kunialika Bungeni huku mkiwa mmeninunulia Suti za Kisutu kwa Fundi Zuberi sawa?