Mwambieni mzee Makamba kuna maisha baada ya kufa, yeye halijui hilo?

Mwambieni mzee Makamba kuna maisha baada ya kufa, yeye halijui hilo?

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Unjani sabuwona

Mzee msambaa anajimwambafai na kujitapa sana sijui kwanini anajitapa hivi labda unapiga kelele ili mwanae aendelee kulamba asali zaidi au ndiyo anajiona yeye ni wenye chama au?

Nimeona interview moja anamkaripia mwandishi mmoja baada ya kumuuliza swali murua halafu yeye anajibu kihovyo hovyo sana aisee kiukweli amenichefua sana.

Dunia kulikuwa na watu mashuhuri na wenye nguvu sana firauni, Hitler , John Kennedy , malikia Elizabeth n.k ila sasa wako wapi?

Mzee msambaa usijimwambafai kuna maisha baada ya hapa.Ccm si mama yake au baba yake. Asipende kuropoka na kutumia vifungu vya dini ili tumuone yeye ni extra ordinary sanaa kumbe ni mchumia tumbo tu.
 
Aliulizwa kuhusu changamoto za umeme,maji.
Akajibu kwa kusema serikali ni kama familia Inamahitaji mengi hivyo unachagua lipi uanze.
Kweli miaka 61 ya uhuru unatoa jibu la namna hii lisiloleta matumaini.
Tanzania kazi ipo Bado tupo Misri kwa Farao
 
Back
Top Bottom