Mwambieni Pep Guadiola haya machache kuhusu EPL

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
Mwambien pep kuwa EPL kuna big match nne yaan
vs Man untd
vs Arsenal
vs Liverpool
vs Chelsea

alfu kuna mechi tano za wabishi wa ligi
vs Totenham
vs Southampton
vs Everton
vs Stoke
vs Westham
yaaan hawa jama hata uwe mgumu vipi lazim mmoj wao akufunge

alfu kuna mechi tatu na watu wenye bahati na ligi
vs Leicester
vs Sunderland
vs westbrom
na kuna mmoja kashuka daraja anaitwa wigan
yaan hawa jama kazi yao kuchukua poit moj moja tu kutoka kweny timu za big four ili mradi wabaki kweny ligi

Pep karbu sana epl huku hakuna granada wala levante.....ila huku kuna crystal palace ambao wana uwezo wa kumiliki mchezaj mweny thamani ya paund milion 30 plus mshahara paund 120000

Karibu katika ulimwengu wa vita na sio ligi kama ulivyozoea
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Khabari anayo
,alijua uingereza ni kitonga kama hispania na german, sasa jasho litamtoka,
 
Halafu mwambieni ili ufanikiwe kwenye hilo ligi lazima uwe 'mhuni wa soka'. Mou na Fergie wanajuana kwa uhuni wao.

Na ndio maana juzi Fergie kawaambia watu mwacheni Mou anajua anachofanya, nyie endeleeni kusubiri tu.

Kasema pia, anamuonea huruma Pep maana alipaswa kuwafunga Barca. Lkn ki ukweli Fergie ana siri yake moyoni. Siri hiyo Pep sio mhuni kama alivyo Wenger hvyo soka la EPL litamharibia CV yake
 
Fergie, Mou na Benitez ndo wanaijua hiyo ligi vizuri. Makocha wengine wanaonewa tu maskini. Bahati mbaya sana Benitez kajipoteza kiaina
 
Halafu mwambieni Conte bado hajielewi. Aaache utoto. Ataja kuaibika huko tuendako. Mhuni Mou anamcheki tu kama anavyomcheki Pep, na sasa kashamtia Pep kabali. Shauri zake mimi simo
 
Halafu mkikutana na Wenger kwenye korido za Emirates mwambie huu ndio msimu wake pekee wa kunyanyua ndoo. Nasema hvyo kwa sababu si Man U si Man C si Chelsea si Liver si Tot wanaojielewa. Bado kila mmoja wao anatanga na njia. Na kama mzee akishindwa kuweka mambo sawa msimu huu basi asahau kabisa, maana msimu ujao Man U na Man C na Liver watakuwa imara sana.

Ni hayo tu
 
Kinachonifurahisha ni kuwa pamoja na morinyo kuonekana kuboronga ila ni tofauti ya point sita tu kati yake na anayoongoza ligi

Halafu mwambieni Conte bado hajielewi. Aaache utoto. Ataja kuaibika huko tuendako. Mhuni Mou anamcheki tu kama anavyomcheki Pep, na sasa kashamtia Pep kabali. Shauri zake mimi simo
 
Kinachonifurahisha ni kuwa pamoja na morinyo kuonekana kuboronga ila ni tofauti ya point sita tu kati yake na anayoongoza ligi
Mm siku zote najua soka la Mou ni la kihuni sana. Nakumbuka mara ya kwanza kutua la liga pep na barca yao wakampiga bao 6, lakini mwisho wa siku Pep kakimbia ligi shauri ya Mou. Na ndo maana namuonea huruma Conte na Chelsea yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…