Mwambieni Rais Magufuli anitumie 500,000 tu kama ishara ya kuwajali maskini kama sisi

Mwambieni Rais Magufuli anitumie 500,000 tu kama ishara ya kuwajali maskini kama sisi

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
10,356
Reaction score
16,379
Nasikia ni rais wa wanyonge
Rais wa watu wa kawaida
Rais wa watu maskini
Hali yetu sisi maskini tunaojitafutia wenyewe bila kusubiri kulipwa mshahara kwa mwezi ni mbaya kuliko wakati mwingine wowote katika Tanzania

Muulizeni pesa imeenda wapi mtaani tunakoishi sisi walala hoi
Watu tunaokumbukwa wakati wa kampeni tu
 
kakobe ana pesa kuizidi serikali na yuko tayari kukopesha!! Magufuri yeye ni msimamizi wa taifa na vilivyomo na si mmiliki hivyo unamuonea kumuomba hicho kiasi
 
Unaambiwa ukifanya kazi ndo utapata ela!lakini ajabu unapambana unapata matokeo yaleyale yaani ziro point nega-.
Mi ndio maana sipendi siasa ingawa inanigusa kwa namna moja au ingine!
afu hakuna uchumi unaokufa ukaja kufufuka ikifa umekufa
 
Itumwe kwa m pesa, halopesa, tigo pesa au airtel money?
 
kakobe ana pesa kuizidi serikali na yuko tayari kukopesha!! Magufuri yeye ni msimamizi wa taifa na vilivyomo na si mmiliki hivyo unamuonea kumuomba hicho kiasi
Si alisema anawanyoosha watu ili maskini kama sisi tuneemeke
Mwambie atume zile alizoshika
 
Back
Top Bottom