Nasikia ni rais wa wanyonge
Rais wa watu wa kawaida
Rais wa watu maskini
Hali yetu sisi maskini tunaojitafutia wenyewe bila kusubiri kulipwa mshahara kwa mwezi ni mbaya kuliko wakati mwingine wowote katika Tanzania
Muulizeni pesa imeenda wapi mtaani tunakoishi sisi walala hoi
Watu tunaokumbukwa wakati wa kampeni tu