Mwambieni Rais Samia Suluhu Hassan

Zaidi ya kitambulisho cha machinga huyo mwendazake hakua na jipya.alikua anaingilia petty issues kama vyoo vya stendi,Masoko,branch za bank ambavyo havikuwa hata kwenye level ya uraisi
 
Barikiwa
 
Wote tulimkubali sana Magufuli lakini mnapomsifu sana na kujaribu kumpa utakatifu kama hakuwa binadamu ndipo mnapowafanya wengine waanze kumchimba ili waweze kumfahamu vyema,

Wewe huwezi kumjua Magufuli kumzidi Samia hata ukijaribu kujifanya unamfahamu kupitia andiko lako.Alikuwa msaidizi wake kwa miaka mitano akizunguka nae nchi nzima. Huwezi kumfahamu JPM kama anavyomfahamu msaidizi wake wa karibu kikatiba.

Mnavyomsifu JPM mpaka kupitiliza ndio mnapowapa wapinzani wake nafasi ya kumuanika makosa yake akiwa rais. Punguzeni huu unazi wenye upofu ndani yake.
 
alikopaje wakati jpm alikuwa na mahusiano mabovu na donor countries!!??? Mpaka leo hii mama anajisifu anaenda ulaya kuifungua nchi.
 
Kipi hicho anachofanya? Kuongeza tozo? Kupandisha bei za bidhaa? Kupandisha kodi?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Mngekuwa sio wabinafsi hamngeficha sura halisi ya chato kwenye makazi ya Simba wa Yuda.
Mazishi ya mmakonde sura halisi ilionyeshwa na haikuwa na maswali tata,kwanini Chato msiba ulikuwa unaonyeshwa nusunusu halafu leo mnamsifia chuma alikuwa mzalendo
 
huna jipya ndugu
 
Ukienda hospitali za serikali leo ndiyo utaona tofauti kubwa iliyopo kati ya sasa na 17.3.2021 backward
 
Samia analipa uharo uliofanywa na Jinamizi la Kihutu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…