Mwambieni Rais Samia Suluhu Hassan

Sasa zito anaingiaje hapa wakati mko peke yenu ccm kila mahali?

Mfamaji nyie
 
Hamia burundi hapa kwenye Nchi yetu hapawafai.
 
aliyeleta uzi ukute hata mia hakuwa kupata🤣🤣🤣
 
Sukuma gang, muda wenu umepita
 

Hakuna mazishi yaliyoshirikisha Watz wengi kama yale. Hatua ya mwisho inatakiwa iwe private watu, wachache familia kujiachia kuombeleza bila camera, video.
 
Nyie mnaojiita watanzania maskini ndio hamtaki katiba mpya na kila siku mnaipigia kura CCM na kutukana wapinzani, hamsaidiki tulieni sindano iwaingie

Asilimia 70% ya Watanzania ni wakulima, wachache wapo mjini. Matajiri kwa viwango vya kidunia TZ hawafiki 20%.

Nchi ina rasimali lukuki aliyetaka kuziweka mikononi mwemu, kuwajengea miundombinu, mazingira kwa nguvu zake zote, mikataba sahihi mlikuwa mnamtukana tu.

Wengi wa Watz hawako CCM, wengi ni maskini. Ni sera, kasi, seriousness yake JPM ndio ilitushawishi.

Asilimia kubwa ya Watz wakieleshwa vizuri watataka katiba mpya.
 
Acha kusema watanzania sema NDO MAANA MIMI.
Hakuna mtanzania aliye na akili timamu anayetete udhalimu mkubwa wa haki za binadamu na mali zao, huyo unaemtetea alikua ki.chaa na ni ktk kipindi chake mauaji na viroba vyenye miili ya watu vimeokotwa, kama maendeleo huletwa kwa expense ya uhai wa wengine basi Mungu ni Athuman[emoji849][emoji849]
 
Mwandiko kama wa (DAB) DAUDI ALBERT BASHITE.🤣🤣🤣

 
JPM alikuwa chapa kazi wengi tulimkubali lakini naye hakuwa malaika kuna watu waliumia sana chini ya utawala wake na demokrasi ilianza kuwa ya ovyo sana na vitendo vingi vya utekaji,mauaji yasiyojulikana, maisha ya hofu na wizi wa kura vilikuwa vingi sana, sijui kama alihusika lakini vilitokea chini ya utawala wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…