Mwambieni Rais Samia Suluhu Hassan

Watz wengi hawana vyama, ni wavumilivu sana.

Viongozi wanajua hivyo wanawatumia kwa manufaa yao.
 
Halafu na akina J.K.Nyerere, Kwame Nkrumah, Nnamdi Azikiwe, Sekou Toure, Samora Machel, Nelson Mandela, na wengineo wengi wataitwa nani?
Wataitwa mashujaa vilevile kwani shujaa wanaweza kuwa wengi Kama hivyo.
 
Vimilia tu bwana sukuma gang.
 
Ukimya kivip?kwaio Kila siku unataka amzungumzie huyo dikteta magu,mwacheni mama atawale mpaka 2030
 
Sasa wewe na wenzako walinda hiyo "legacy" ya mauaji, wizi, ujambazi na kupora wafanyabiashara mali zao si mpo?

Kwanini mnalazimisha kumwingiza Mama yetu kwenye mambo yenu ya kishenzi?
 
Wala hakuna haja ya kutambiana majibu ya haya yote tutayajua baada ya 25 na hapo ndipo tutaweka mzani Kila mtu ana mazuri yake na mabaya yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…