OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Mashindano ya CAF yote ni mashindano ya kikanuni,
Timu nyingi zilizofanikiwa hucheza kikanuni.
Miguel Gamond mechi yake ya kwanza alicheza kimazoea kule Algeria Yanga ikapokea kichapo cha mbwa koko,
Nakumbuka hiyo siku akina yao yao na wenzake walikuwa wanapanda kushambulia bila tahadhari yaani wanajazana mbele wanajisahau kurudi nyuma kilichotokea sasa Yanga possesion 70% ila no goal wakati huo Belouzdad 30% magoal matatu
Tangu hiyo siku Gamond akawa na adabu, akawa mjanja ukiangalua uchezaji wa Yanga huko CAFCL na uchezaji wa yanga hapa NBC ni tofauti kabisa.
Sasa huyu Yusuph Dabo anaukuta mbovu akileta mazoea ya NBCPL huko CAFCL atapata aibu ya mwaka round ya kwanza au ya pili
Ila akitaka atoboe aangalie wakubwa wanavyofanya.
Azam wanatabia ya kujazana mbele kichwa kichwa kama askari wa vietnam wale wa kwenye movie
Nawasilisha