Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CHADEMA (BAZECHA) Mkoa wa Mbeya, David John Mwambigija, akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya Maji Moto, Jimbo la Kavuu mkoani Katavi,
Your browser is not able to display this video.
"Njia ya kutatua haya sio kuunda tume. Kwanza wanakushauri vibaya. Ushauri mtamu na mzuri na wenye ukweli, tenda haki, weka mpira katikati.
CCM mmeshakabidhiwa, nyumba imeshafungwa tatu bila. Weka mpira kati, sisi hatujatoka Malawi. Katiba ni ya kwetu wenyewe, itatusaidia hata watoto wetu, watoto wetu waje watusaidie sana. Hii katiba nzuri.
Tendeni haki sio kurundika matume ambayo yanakula fedha za walipa kodi pasipo sababu. Jibu linajulikana walisema jeshi lijandae na uchaguzi wa mwaka huu."
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CHADEMA (BAZECHA) Mkoa wa Mbeya, David John Mwambigija, kodi pasipo sababu. Jibu linajulikana walisema jeshi lijandae na uchaguzi wa mwaka huu."
Gentleman,
nadhani ingependeza zaidi mzee huyo aelekezwe vizuri kwamba, tume na kamati mbalimbali za kitaifa zinaendelea kuundwa na Rais kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na hakuna mtu anaweza kuzuia hilo kutokea.
mwambieni huyo Mzee tuna muheshimu sana, ila ajitahidi sana kuepuka kutokubebwa ufala wa kifikra na wafuata mkumbo ndani ya chama chake na kujikuta anaonekana hana adabu na amesha zeeka, hiyo ni muhimu sana aise ndugu zangu 🐒