Cag ni mkaguzi tu, yes kila mwaka anakuja na report and its always bad news?sijaisoma yote, lkn how is that gonna work? cag ni mtu wa accounting na hiyo is hard enough anaezaje tena kuaza kufanya mamzo a kisheria kuimbizana mahakamani? kwa nini sasa hata tuna hizi taasisi kama mahakama, takukuru au hata bunge? ...
Cag ni mkaguzi tu, yes kila mwaka anakuja na report and its always bad news?
What about accountability? No never
Siku Mwabukusi akielewa ukimpa CAG nguvu ya kuchukua sheria atakuwa akichukua sheria dhidi ya kina nani, basi ataacha kuliongelea hili kwa sababu anapoteza muda kulisemea.“Mimi nilikuwa nadhani kuhusu CAG, tuboreshe kifungu cha kumwezesha kuchukua hatua au kupendekeza hatua za kisheria
Kama Mabadiriko ya Sheria yatapitishwa, Kwa Akili ya Darasa langu la 7 ni kwamba Office ya CAG itawezeshwa Kwa kuajiliwa Wanasheria borà ambao watafanya Kazi chini yake, na vile wao ni Wataalamu, watamshauri CAG juu ya hatua za kisheria za kuchukua.sijaisoma yote, lkn how is that even going to work? cag ni mtu wa accounting na hiyo is hard enough anaanzaje tena kufanya mambo ya kisheria kukimbizana mahakamani? kwa nini sasa hata tuna hizi taasisi kama mahakama, takukuru au hata bunge?
hapa kiini cha tatizo ni kama mnakikwepa nacho ni islam ya tanzagiza, tatizo liko hapo, thats why taasisi zipo lkn hazifanya kazi, solve islam umesolve 50% ya matatizo ya tanzagiza ....
Kama Mabadiriko ya Sheria yatapitishwa, Kwa Akili ya Darasa langu la 7 ni kwamba Office ya CAG itawezeshwa Kwa kuajiliwa Wanasheria borà ambao watafanya Kazi chini yake, na vile wao ni Wataalamu, watamshauri CAG juu ya hatua za kisheria za kuchukua.
Na siku anasoma hiyo report anatoa Mapendekezo ya office Kwa hatua za kuchukua.... Simple.
Sio , ukobazi pekee au dini nyinginezo, huwezi kuwa kiongozi wa serikali, afisa usalama wa Nchi, eti una mawazo kichwani kwamba ukiwa na mbaya au mazuri hapa duniani basi after life Kuna Maisha mazuri au hell kuliko haya ya Duniani.sijaisoma yote, lkn how is that even going to work? cag ni mtu wa accounting na hiyo is hard enough anaanzaje tena kufanya mambo ya kisheria kukimbizana mahakamani? kwa nini sasa hata tuna hizi taasisi kama mahakama, takukuru au hata bunge?
hapa kiini cha tatizo ni kama mnakikwepa nacho ni islam ya tanzagiza, tatizo liko hapo, thats why taasisi zipo lkn hazifanya kazi, solve islam umesolve 50% ya matatizo ya tanzagiza ....
Hakuna mahala popote Duniani ipo hivyo ndio maana Kuna Takukuru na vyombo vingine.Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ametoa mapendekezo yake ya namna ya kudhibiti ubadhirifu wa mali za umma nchini Tanzania, akisisitiza kuwa bila mabadiliko ya kimfumo, ripoti za CAG zitaendelea kuwa kelele zisizo na matokeo.
Akizungumza na televisheni ya mtandao ya Saut Digital, Mwabukusi amebainisha kuwa dawa ya kwanza ni kuifanyia marekebisho Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ili iwe na uwezo wa kisheria wa kuchukua au kupendekeza hatua za kijeshi na kisheria moja kwa moja dhidi ya wabadhirifu.
Mwabukusi ameeleza kuwa udhaifu mkubwa upo kwenye mapendekezo ya CAG ambayo mara nyingi "yanapaishwa" badala ya kuendana na ukubwa wa ubadhirifu uliogunduliwa.
“Mimi nilikuwa nadhani kuhusu CAG, tuboreshe kifungu cha kumwezesha kuchukua hatua au kupendekeza hatua za kisheria kwa sababu nilikuwa nasikiliza mapendekezo ya CAG, ukweli amegundua mambo makubwa lakini kila akifika kwenye mapendekezo alikuwa anabutua, alikuwa alikuwa anapaisha, nilikuwa naona mapendekezo yake, yalikuwa hayashabihiani na ule udhaifu aliokuwa akiugundua. Kwahiyo hapo ndio sehemu yenye udhaifu, namna ya kuchukua na kuifanyia kazi ili kumfanya mtu aogope kwamba kuchukua fedha ya umma au kufanya ubadhirifu wa mali ya umma ni jambo la hatari sana, mtu asilizoee”, amependekeza Mwabukusi.
Kama sehemu ya tiba ya kijamii, Rais huyo wa TLS amesisitiza kuwa mchakato wa Katiba Mpya lazima uanzishwe upya kwa kutumia maoni ya Jaji Warioba, lakini safari hii ukiambatana na ‘Bunge la Katiba’ lililotengwa kando na bunge la sasa la jamhuri ambalo amedai limepoteza uaminifu kwa umma.
Mwabukusi amependekeza kuundwa kwa Tume ya Ukweli, Haki na Uwajibikaji. Amesema tume hii itasaidia wananchi kutoa hasira zilizopo mioyoni mwao kutokana na ukiukwaji wa haki na wizi wa rasilimali, na kuweka mezani majawabu ya namna taifa linavyopaswa kwenda mbele.
“Lakini kabla ya kufanya kitu chochote taifa letu sasa limepita kwenye mkwamo mkubwa Tunatakiwa tume ya ukweli, haki na uwajibikaji ili wananchi waweze kujadili tulifikaje hapa, tuna shida gani, tuna matatizo gani. Baada ya kukamilisha hilo na kujenga hii imani ya pamoja na kurudi pamoja na watu kuona uwajibikaji, hasira zikapungua kwenye mioyo ya watu kama unavyoona saa hizi kuna watu wamefikia hatua wanashangilia vifo vya viongozi, ni kwa sababu ya hasira watu walionayo, kwa hiyo turudi pamoja kuwe na uwajibikaji kwa ukiukwaji wa haki uliofanyika, watu waliotekwa…nani aliwateka? Wako wapi? Watu wapate majawabu ya mambo muhimu halafu tukae mezani tutafute majawabu, wa kuwajibika wawajibike, halafu tukae kama taifa kuona namna bora ya kutoka hapa”, ameeleza Mwabukusi.
Ameonya kuwa bila dozi hii ya mabadiliko ya kisheria, Tanzania haitafikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 kwa sababu nakisi ya fedha zinazopotea kupitia uzembe na ubadhirifu ni kubwa mno, hali inayoshusha kipato cha taifa na kudhoofisha maadili ya utumishi wa umma
Pia soma: Mwabukusi: Tunapoteza nguvu kushughulika na upinzani kuliko Ripoti ya CAG
nonsenseRais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ametoa mapendekezo yake ya namna ya kudhibiti ubadhirifu wa mali za umma nchini Tanzania, akisisitiza kuwa bila mabadiliko ya kimfumo, ripoti za CAG zitaendelea kuwa kelele zisizo na matokeo.