kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Kama unajua kusoma alama za nyakati, anza kuomba uongozi waikabidhi timu kwa Mwarabu. Kuna kila dalili za wewe kuondoka kwa aibu hasa baada ya mechi zinazofuata.
Tunawajua wapenzi wa utopolo na akili zao. Kwani usipovurugwa wewe watavurugwa wachezaji. GSM yeye ni mpenzi wa Simba hilo liko wazi. Hata hivyo mmejaribu kumvuruga ila uzuri mwenye pesa havurugwi kirahisi.
Mwambusi pokea salaam!