Mwambusi unatafutiwa zengwe, watu wameshasomewa CV wanaona unawachelewesha kuwa mabingwa

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Kama unajua kusoma alama za nyakati, anza kuomba uongozi waikabidhi timu kwa Mwarabu. Kuna kila dalili za wewe kuondoka kwa aibu hasa baada ya mechi zinazofuata.

Tunawajua wapenzi wa utopolo na akili zao. Kwani usipovurugwa wewe watavurugwa wachezaji. GSM yeye ni mpenzi wa Simba hilo liko wazi. Hata hivyo mmejaribu kumvuruga ila uzuri mwenye pesa havurugwi kirahisi.

Mwambusi pokea salaam!
 
Nenda kaloge huko ww, unafiki tu umekujaa na hii Ramadhan yote..
Utopolo wako peleka hukooooh kwenye viba100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…