change formula
JF-Expert Member
- Sep 8, 2020
- 729
- 1,559
Toka mmechomekwa mwiko uko matakoni akili zimewaruka,kapumbu aliuchomoa akakukojolea akaurudisha tena, shwain utopoloTupambane sasa asje akaishusha na makolokolo fc yetu sasa tatzo Sisi ni mambumbu hata rage anatujua
Hawawezi kuliona hilo. Wapo na kumshupalia Mo anaeweka hela wanasahau ya kwao manyanini huko. Tarehe 12/09/2021 watapigwa hawa balaaaMinyani inafukuzana kufungua nyuzi,mijitu mwitu mitopolo, inashida sana, ukiikuta inabweka utashangaa sana!!inabweka mpaka inatoa machozi, Minyani imeshasahau kuwa GSM aliishusha daraja majimaji FC!!!
Minyani toka MO ameingia Simba imepagawa sana,miaka minne haina hata kikombe cha kahawa,imebaki kurukiana TU.Hawawezi kuliona hilo. Wapo na kumshupalia Mo anaeweka hela wanasahau ya kwao manyanini huko. Tarehe 12/09/2021 watapigwa hawa balaaa
Acha tarehe 12 kesho kutwa wataanza kugawana nguo maana wakifungwa hawatavumiliana. Ndipo yatajistukiaMinyani toka MO ameingia Simba imepagawa sana,miaka minne haina hata kikombe cha kahawa,imebaki kurukiana TU.
gsm ni mjanja mjanja tu,pesa ya uhamisho wa Shaban Djuma ajalipa,As Vita wamempiga pini asicheze mechi za kimataifa.Bora mbumbu kuliko alivyowaita Luc Emely [emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]
Nyani taarifa wanazo ila wapo kimya TU!! Ila manyani jamii ya utopolo ni mazombigsm ni mjanja mjanja tu,pesa ya uhamisho wa Shaban Djuma ajalipa,As Vita wamempiga pini asicheze mechi za kimataifa.
Acha wakija jitambua watajikuta nafasi ya 100gsm ni mjanja mjanja tu,pesa ya uhamisho wa Shaban Djuma ajalipa,As Vita wamempiga pini asicheze mechi za kimataifa.
Wanajificha kwenye kichaka cha kumsema mo na simba. Kibanzi kwenye jicho lao hawakioni ila boriti ya mwenzao wanaishupalia kinoma nomaNyani taarifa wanazo ila wapo kimya TU!! Ila manyani jamii ya utopolo ni mazombi
Ajimilikishe mara ngapi? Huoni kaishachukua uwanja na yale matambara ya deki wanayoyaita jezi kajaza matangazo ya biashara zakeSisi makolo fc tusipokuwa makini na mwamedi anajimilikisha timu
Ni kiswahili au mimi sijui kusoma na kukielewa kiswahili?Ni kweli kuna Tofauti kubwa maana Sisi mashabiki WA makolokolo fc ni mambumbu makolo tukiwasilisha kitu huwa ni kuhusu yanga Tu lakini wenzetu wako mbali kidogo wao wakileta thread humu huwa ni kuhusu maendeleo ya timu Yao Tu hawana muda na makolokolo fc timu yetu. Si unaona hata Yule binge msemaji wetu jezi amevujisha vunja bei ye anasema yanga ndo wamevujisha huo ndo utofauti.