October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Hiki kipande kingefaa ungeandika hivi: Atokemo hadhalanimo ahutubiemo.Atokemo hadhalani ahutubie.
Ila watu mnauchokozi , wapiga kura milion 30 na unajificha khaaa๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃTumemmisi walahi. Sio ahutubie mafichoni wala. Siye twataka ajitokeze kama afanyavyo Waziri wake. Nye nye nye tutafurahia nye. Wajua twampenda. Naye ajua. Sasa yanini kumvundika mafichoni Nye. Miye nawajuza leo. Twamhusudu kweli. Tumechoka kummisi kipenzi chetu. Atokemo hadhalani ahutubie. Atupungie balabalani. Hehehehh! Yaani nitafulahi. Mtu akaa ndani miezi yote hiyo tadhani apewa bed rest. Mayii. Atoke jeshi lipo imala. Na bado
HovyoOH MY DEAR PRESIDENT , WE SHALL LOVE YOU FOREVER , WE KNOW THAT YOU ARE BUSY WORKING FOR THE BETTER OF TOMORROW . I WISH YOU NOTHING BUT SUCCESS AND HEALTHY LONG LIFE MAMA SAMIA . NAKUPENDA MAMA YETU. UNAZIDI KUKOMAA KISIASA NA KIMAISHA KWANI KILA SIKU YA MWANADAMU NI FUNZO. MWENYEZI MUNGU IBARIKI NCHI YETU NA DUNIA NZIMA . UTUJALIE UPENDO NA MSHIKAMANO DAIMA , NA WANA JF WENZANGU WOTE NIWATIKIE HERI YA MSIMU WA SIKUKUU NA MWAKA MPYA .
Mnajitahidi kujitekenya ionekane tunamhitaji huyo mhaini.Tumemmisi walahi. Sio ahutubie mafichoni wala. Siye twataka ajitokeze kama afanyavyo Waziri wake. Nye nye nye tutafurahia nye. Wajua twampenda. Naye ajua. Sasa yanini kumvundika mafichoni Nye. Miye nawajuza leo. Twamhusudu kweli. Tumechoka kummisi kipenzi chetu. Atokemo hadhalani ahutubie. Atupungie balabalani. Hehehehh! Yaani nitafulahi. Mtu akaa ndani miezi yote hiyo tadhani apewa bed rest. Mayii. Atoke jeshi lipo imala. Na bado
LETS ALL DANCE TO SAMIA'S MUSIC. THE RYTHM IS JUST SMOOTH SO WATCH YOUR STEPS.Hovyo
Cabron ๐ฎLETS ALL DANCE TO SAMIA'S MUSIC. THE RYTHM IS JUST SMOOTH SO WATCH YOUR STEPS.
Wewe unayo..,??Tafuta kazi ya kufanya mkuu
Ungeandika tu Kiswahili.OH MY DEAR PRESIDENT , WE SHALL LOVE YOU FOREVER , WE KNOW THAT YOU ARE BUSY WORKING FOR THE BETTER OF TOMORROW . I WISH YOU NOTHING BUT SUCCESS AND HEALTHY LONG LIFE MAMA SAMIA . NAKUPENDA MAMA YETU. UNAZIDI KUKOMAA KISIASA NA KIMAISHA KWANI KILA SIKU YA MWANADAMU NI FUNZO. MWENYEZI MUNGU IBARIKI NCHI YETU NA DUNIA NZIMA . UTUJALIE UPENDO NA MSHIKAMANO DAIMA , NA WANA JF WENZANGU WOTE NIWATIKIE HERI YA MSIMU WA SIKUKUU NA MWAKA MPYA .
Umepata 98% ila bado unajifungia ndani kama msukule na kujizungushia uzio wa jeshi kwa kuogopa 2%MAKAFIRI BANA...SI MLIZUSHA KAFARIKI??
SASA HIVI MNA UZUSHI GANI VICHAA NYINYI