mlaki mlaki
New Member
- Dec 23, 2022
- 4
- 2
Ndoa ni mkataba wa kisheria kati ya mwanaume.na mwanamke ili waishi kama mume na mke, sheria ya mkataba huo inaweza kuwa ya kidini, kimila au ya kiserikali.Naomba msaha juu ya hili je mwanamke alie olewa kiislam akaja kutengana na mumewe na kubadili dini je ndoa itakuwepo paka atakapodai talaka au ndoa itafika mwisho
Na je mwanamke akidai talaka na mume akagoma kuitoa ingali mwanamke sidini yake tena ndoa itaendeleaNdoa ni mkataba wa kisheria kati ya mwanaume.na mwanamke ili waishi kama mume na mke, sheria ya mkataba huo inaweza kuwa ya kidini, kimila au ya kiserikali.
Talaka ni hati inayotolewa na mume au chombo husika kama taarifa ya kusitisha ndoa na hati hiyo anapewa mwanamke aliyeachwa.
Ndoa inapovunjika talaka ndio Uthibitisho kwamba ndoa imevunjika, talaka ni kama risiti ya kuthibitisha kwamba umenunua bidhaa ya aina fulani kwa gharama fulani kutoka duka fulani.
Na je mwanamke akidai talaka na mume akagoma kuitoa ingali mwanamke sidini yake tena ndoa itaendelea
Kuna Dada mmoja Mkoa wa kusini aliolewa na Me Muislam akazaa naye Mtoto, baada ya miaka miwili tu ndoa chali na mwaka wa 3 akakacha ndoa.Naomba msaha juu ya hili je mwanamke alie olewa kiislam akaja kutengana na mumewe na kubadili dini je ndoa itakuwepo paka atakapodai talaka au ndoa itafika mwisho
Je alipewa talaka?Kuna Dada mmoja Mkoa wa kusini aliolewa na Me Muislam akazaa naye Mtoto, baada ya miaka miwili tu ndoa chali na mwaka wa 3 akakacha ndoa.
Baada ya miezi 9 akiwa home kwao akapata Me Mkristo akaolewa naye na sasa wana mwaka wa 5 wakiwa wana Mtoto mmoja wa kiume.
PICHA KAMILI:
Ke anapitia changamoto ya kubaguliwa na Wazazi, Ndugu zake na ametengwa kabisa kwenye ukoo sababu tu ya kuolewa na Mkristo lakini Ke kakaza kuwa liwalo na liwe ataenda kujibu kwa Mungu ila amani ya roho ina nafasi kubwa sana kwake kimaisha katika ndoa kuliko kuendekeza dini na Ndugu.
Na je kama mwanaume alitoa Mali kwa wazazi na hakulipa Mahali kwa mke inawezekana mwanamke akimpa talaka kumlipa ingali mwanamke hakupokea Mahali yakeKwani kubadili dini ndio kigezo cha kuvunjika kwa ndoa??
Hata kama kabadili dini huyo kisheria bado ni mkeo na ili asiwe tena mkeo yakupasa uumpe talaka.
Talaka ndio cheti cha kuthibitisha kwamba huyo sio tena mkeo na mambo ya kubadilisha dini hayahusiani na talaka kwani hata kama kabadili dini kisheria huyo bado ni mkeo na itaonekana bado hujamuacha kwakuwa hujampa talaka.
Hebu geuza picha hiyo kwa upande wa pili; kwa mfano wewe ndio umebadili dini je huyo mkeo moja kwa moja anakuwa sio mkeo?? hapana hawezi kukoma kuwa mkeo ni hadi adai talaka na wewe uumpe talaka hapo ndio ndoa inakoma.
Narudia tena kama kuna cheti cha ndoa kinachothibitisha ndoa hivyohivyo talaka ndio cheti cha kuthibitisha kuvunjika kwa ndoa, kwa maneno mengine talaka ni cheti cha kubatilisha cheti cha ndoa, kama yeye anadai talaka na wewe UMERIDHIA kumuacha huyo mwanamke basi mpe talaka yake.
Au mwambie yeye ndiye akupe talaka (inaitwa khula) ambayo katika sheria ya kiisilamu yeye itabidi akurudishie mahari uliyompa.
Na je kama mwanaume alitoa Mali kwa wazazi na hakulipa Mahali kwa mke inawezekana mwanamke akimpa talaka kumlipa ingali mwanamke hakupokea Mahali yake
hakuna Ndoa hapo,hivyo Muhanga (victim) hapo itabidi afunge kesi mahakamani kwa ajili ya kupata talaka sababu ya mwenza kubadilisha lini ambayo siyo dini aliyokuwanayo/waliokuwa nayo kipindi cha kufunga ndoa,hii ni kwa mujibu wa Kifungu 107(2)(i) ya Sheria ya Ndoa ya Sura ya 29 Iliyofanyiwa Marekebisho Mwaka 2019,karibu PM kwa msaada zaidiNaomba msaha juu ya hili je mwanamke alie olewa kiislam akaja kutengana na mumewe na kubadili dini je ndoa itakuwepo paka atakapodai talaka au ndoa itafika mwisho
Ndio. Kubadili dini kwa mmoja wa wanandoa ni kigezo kimojawapo kisheria kinachopelekea mahakama kuvunja ndoa.Naomba msaada juu ya hili.
Je, mwanamke aliyeolewa Kiislam akaja kutengana na mumewe na kubadili dini je ndoa itakuwepo paka atakapodai talaka au ndoa itafika mwisho.