Mwamke msaliti

Habari zenu wakuu.

Nauliza hivi Kwa Sisi WANAUME
Je, mwanamke msaliti anasemehewa?

Bro" ni kupaangalia options zako, na aliyofanya, ukishakuwa na watoto wa 2 au zaidi, tafakari sana sana na usisikilize mawazo ya vijiweni!

Kama ujaoa au una mtoto mmoja, kimbia haraka sana wala usigeuke nyuma!

Kusamehe ni safari ngumu kuliko ya wana wa Israle kuelekea nchi ya ahadi, Mimi nimesamehe Nina mwaka wa 8 huu, ila Bado nakumbuka!
 
Mzee wangu kwahiyo bado unaumia tu ndani kwa ndani?

Daah pole Sana mkuu sonona ni mbaya Sana.
 
Kikubwa ni kuwa na misimamo thabiti kama mwanaume,kuwa na maamuzi magumu
Wanaume inatakiwa tuwe na furaha kipindi hiki mana wao wanataka pesa zetu.

Sasa tuendelee kuwanunua ili wasipate upenyo wa kuingia katika Maisha yetu. Mambo ya ndoa ni magumu lakini mepesi kiasi chake ukimpata yule ambaye hasikilizi kwao wanamwambia nini.

Yeye husikia neno la mumewe tu na sio mtu mwingine.Wanawake Hao wapo wachache sana Kwa Sasa
 
Ni kweli ila na wanawake wanakupima kwanza kuona misimamo yako akiona hutetereki ni mara chache sana kufanya upumbav
 
Ngono sio ajari ni mchakato wenye mipango kusudiwa,mwanamke aziniye nje ya ndoa ama uchumba wake hana tofauti na mchawi anayefaa kupigwa mawe mpaka kufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…