Mwamnyeto, Mkude, Shomari,Tshabalala Watemwa Stars

Hivi hao makipa 2 wa Simba wa nini.
 
KICHEFUCHEFU ni Wahujumu uchumi, haiwezekani walifanya mpango kwa Kibu kupata Uraia alafu sasa wamemtema
 
Hii timu mbona km wavunja kuni wengi sana.Himidi Mao kaitwa![emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Nilipata mshtuko nilipowakosa Tepsi na Sopu kikosini lakini kocha msaidizi Mecky amefafanua kuwa wapo kwa ajili ya U23 na wana mashindano yao,, ndipo nikapata ahueni vinginevyo nisingekaa nikawaelewa kabisa
Naona hata yosso Boko ameachwa kwa sababu hiyo hiyo!
 
Hii timu itakua imechaguliwa na Waziri wa michezo na kwakua Siasa imeingia, Tanzania itatoka nafasi iliyopo ya 133 na inaweza fika 160 Kwa soka Duniani.
Mnaacha wachezaji wanaocheza champions league mnaweka watu wa kienyeji alafu mnategemea kufika mbali🤣🤣🤣🤣 aise sie watz tunafikri kwa kutumia mikunduuu yetu na sio akili🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mnaacha wachezaji wanaocheza champions league mnaweka watu wa kienyeji alafu mnategemea kufika mbali🤣🤣🤣🤣 aise sie watz tunafikri kwa kutumia mikunduuu yetu na sio akili🤣🤣🤣🤣🤣
Na kweli, huyu kocha hata asubuhi hatafika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…