Mwamnyeto si mchezaji wa level ya kuichezea Yanga

Kama mnakumbukumbu vizuri Mwamnyeto baada ya loss ya mkewe amekua mtu mwingine kabisa uwanjani
 
Lomalisa tupa kule, djuma tupa kule hawajui kukaba ni waoga wa kukumbana na adui yaani pale job anajtahd sn bangala arud kiungo. Kifupi hatuna beki kbs, kibwana bdo sn ila anajtahidi.
 
Dickson job na msheri mganga wao mmoja yule msheri anammaliza diarra halafu job anammaliza mwamnyeto wale jamaa wanapiga tunguri hatari wakiongozwa na kibwana shomari wanamganga wao morogoro balaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…