Arnold Kalikawe
Senior Member
- Sep 28, 2016
- 152
- 374
Mchungaji Mwaposa ameonekana Katika tamasha la uzinduzi wa Album ya Harmonize kitu kilichozua maswali. Mwamposa ni mchungaji kitu ambacho kinamfanya asiwe mpenzi wa nyimbo nyingi za Harmonize kwa sababu haziendani na maadili ya kikristo, licha ya hilo Harmonize ni Muislam tofauti na mwamposa, wadau wametafuta sababu au Connection ya dots ya kufanya Mwamposa audhurie tamasha hilo ila wamekosa majibu
View: https://www.instagram.com/reel/C7ZgugMNwD7/?igsh=MXVhbjM2ZXI4NnlhOA==
View: https://www.instagram.com/reel/C7ZgugMNwD7/?igsh=MXVhbjM2ZXI4NnlhOA==