Arnold Kalikawe
Senior Member
- Sep 28, 2016
- 152
- 374
Mwamposa hana kanisa (church) bali ana huduma (ministries).Mchungaji Mwaposa ameonekana Katika tamasha la uzinduzi wa Album ya Harmonize kitu kilichozua maswali. Mwamposa ni mchungaji kitu ambacho kinamfanya asiwe mpenzi wa nyimbo nyingi za Harmonize kwa sababu haziendani na maadili ya kikristo, licha ya hilo Harmonize ni Muislam tofauti na mwamposa, wadau wametafuta sababu au Connection ya dots ya kufanya Mwamposa audhurie tamasha hilo ila wamekosa majibu
View: https://www.instagram.com/reel/C7ZgugMNwD7/?igsh=MXVhbjM2ZXI4NnlhOA==
baba yao ni mmoja, wanaitika kwa boss mmoja. what else would you expect?Haaoo.!!
Hawaogopi hata kusema hukumu imekaribia!
Na wachungaji wa dini hata wao pia!
Wanatunzwa na wanaotengeneza bia!
Wanachachanganya na wanaofagilia, maovu na starehe za kupita hii dunia.!!
Wote ni ccmMchungaji Mwaposa ameonekana Katika tamasha la uzinduzi wa Album ya Harmonize kitu kilichozua maswali. Mwamposa ni mchungaji kitu ambacho kinamfanya asiwe mpenzi wa nyimbo ...
Kwamba anaruhusiwa kuhudhuria hata matamasha ya kishirikina?Mwamposa hana kanisa (church) bali ana huduma (ministries).
Huduma ni kwa ajili ya watu wa dini zote kwa jina la Yesu.
Umeelewa?
2Wakorinto 6:14-16Mchungaji Mwaposa ameonekana Katika tamasha la uzinduzi wa Album ya Harmonize kitu kilichozua maswali. Mwamposa ni mchungaji kitu ambacho kinamfanya asiwe mpenzi wa nyimbo nyingi za Harmonize kwa sababu haziendani na maadili ya kikristo, licha ya hilo Harmonize ni Muislam tofauti na mwamposa, wadau wametafuta sababu au Connection ya dots ya kufanya Mwamposa audhurie tamasha hilo ila wamekosa majibu
View: https://www.instagram.com/reel/C7ZgugMNwD7/?igsh=MXVhbjM2ZXI4NnlhOA==
Lakini mashehe hawatohudhuria.Mwamposa hana kanisa (church) bali ana huduma (ministries).
Huduma ni kwa ajili ya watu wa dini zote kwa jina la Yesu.
Umeelewa?
Nani huyobaba yao ni mmoja, wanaitika kwa boss mmoja. what else would you expect?
utawajua kwa matendo yao, wala hakuna haja ya kuuliza. pia ndege wanaofanana huruka pamoja. ndio maana usishangae hata diamond na shusho kuwa marafiki wakubwa vile.Nani huyo