kiss daniel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 758
- 2,062
Amani kwenu watumishi
Huyu mwamposa kashindikana
Kwa sasa dunian wa kushindana naye ni pope Francis mwenyewe hakuna tena mwingine
Hata shetani hawezi kujaza watu kama anaojaza mwamposa
Hata Trump hamuwezi huyu jamaa
Acha injili ihubiliwe
Acheni kuhukumu hakimu ni MWENYEZI MUNGU
Ipo siku atakuja mwanakondoo KRISTO YESU yeye mwenyewe ndo tutakapojua kuwa tofaut ya ngano na magugu
Nb mimi niko zangu ndani natazamia kwenye TV ya kwa jilan nikisema Nina tv huo ni uongo tv Sina ghetto kwangu , MUNGU ndo anajua maisha yangu
Asanten sana