Ubungo Mataa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2018
- 411
- 725
Heshima kwenu wanabodi..
Jana wakati nasubiri kuupokea mwaka mpya nilikuwa nimetulia tu nyumbani nikiwa nawatch kideo.
Baada ya kuunglia chanel kadhaa ndio nikakutana na mkesha wa kihistoria wa Boniphace Mwamposa, chuma kilikuwa kinaunguruma kutoa viwanja vya Tanganyika Packers Kawe. Aisee huyu jamaa ni mtu na nusu, mahubiri ya nguvu, shuhudi za kwali na maombi yaliyoenda shule za International.
Serikal izungumze neno, huyu jamaa awe hata mwombezi rasmi wa taifa.. ni fundi!
Nikakabidhi na mimi maombi yangu kumi na mbili kama kawaida.. Sasa nikuanza kuyapambania usiku na mchana hadi yatimie kama nilivyoomba kupitia madhabahu ile kuu.
Heri ya mwaka mpya 2024 kwenu nyote!