Mwamposa apewe maua yake

Aliposhindwa kujiokowa Yesu alipiga kelele kumuomba Allah amsaidie, huyo ndiyomwokozi wetu na Yesu pia ndiye mwokozi wake aliyemuita wakati wa matatizo.

Usisahau hilo.
Hapana mwenzangu umedanganya. Hawa wakristo hawakubaliani na allah kabisa na hawamtambui. allah kwao ni shetani hana uhusiano kabisa na Mungu wao Jehovah.

Sema mimi namkubali allah kwenye zawadi ya mabikra na pombe kule akhera.... Hapa alitoa ahadi nzuri sana. Nakutizama... Nawaza na faiza yeye atapewa mabwana wangapi na allah? Sipati majibu.
 
Matapeli ni wengi wana network kubwa ,watu washamsahau yesu sasa ni Mwamposa😅😅
 
Badala ya kusema serikali impe ratiba ya kutembelea na kufanya maombi hospitals unakuja na mapambio ya kipuuzi hapa.
Aende hospitals aponye wagonjwa ndio utajua kuwa zile shuhuda ni za kweli au ni za mchongo.
 
Sishangai mnavyompinga mwamposa maana hata yesu mwenywe alipingwa, ila kwa wenye imani wanajua mwamposa ni na wamesaidikaje baada ya kumwamini nakuamini mafundisho yake. Ishu hapa ni imani kama huna imani hutajua kusudi la mungu lililoko ndani ya mwamposa. Hivi jiulize wanaoshuhudia kila siku wengine kutoka nje ya nch inawezekana kweli kuwapanga? Ajabu Mtu anaweza kumwamini mganga lakini mwamposa hapana. Matayo 17:20 Yesu akawaambia, Kwa sababu ya upungufu wa imani yenu. Kwa maana, amin, nawaambia, Mkiwa na imani kiasi cha punje ya haradali mtauambia mlima huu, Ondoka hapa uende kule; nao utaondoka; wala halitakuwako neno lisilowezekana kwenu.

Mathayo 17:20
 
Aliposhindwa kujiokowa Yesu alipiga kelele kumuomba Allah amsaidie, huyo ndiyomwokozi wetu na Yesu pia ndiye mwokozi wake aliyemuita wakati wa matatizo.

Usisahau hilo.
Hivi Mudi aliwahi kufanya muujiza wowote kama manabii na mitume wenzie akina Musa, na Eliya, na Elisha kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…