Mwamposa awasili Leaders Club kuendesha ibada ya kumuaga Muigizaji Grace Mapunda (Tessa)

Nadhani hii ilikuwa fursa nzuri kwake kuthibitisha "utume" wake wa kufufua wafu baada ya kushindwa "kumponya" Marehemu!

Binadamu tunayo tabu! Hata atakapokuja Dajjal (Anti-Christ) atapata wafuasi wa kutosha!
 
Huwa anaponya wasio maarufu Wala wasio na followers kwenye mitandao ya kijamii so hatujuagi kama wanaponaga au lah
 
Wiki iliyopita alizika msaidizi wake wa karibu,katika ibada alimshukuru sana Prof Janabi na wenzake kwa kusaidia kumtibu marehemu.Alijua kabisa maji na mafuta yake hayawezi kumponya akatafuta msaada kwa Janabi

Jumapili iliyofuata anaenda kuwaambia misukule pokeeni uponyaji kwa maji na mafuta na yenyewe inashangilia
 
Wajinga ndio waliwao
 
Nawaza kwa sauti "huyu jamaa si aahirishe tu ibada amfufue tu marehemu watu wasambae na sisi wagalatia tuliorogwa tumwanini"
Una dhambi sana kutuvunja mbavu katikati ya kilio
 
Hivi huu msiba wa classmate, ni jambo la kitaifa eehhh....🤔
 
Mayele alitoa shuhuda aliombewa na Mwamposa akapona, ila kigezo kimojawapo Cha mtumishi wa Mungu lazima wawepo makenge wasiokukubali
 
Back
Top Bottom