Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
TPMtumishi wa Mungu Boniface Bulldozer Mwamposa alivyowasili viwanja vya Leaders Club kuendesha ibada ya kumuaga mpendwa wetu Grace Mapunda #RIPGraceMapunda
Soma: Muigizaji Grace Mapunda (Tessa) amefariki dunia
Matapeli ni wengi africaMtumishi wa Mungu Boniface Bulldozer Mwamposa alivyowasili viwanja vya Leaders Club kuendesha ibada ya kumuaga mpendwa wetu Grace Mapunda #RIPGraceMapunda
Soma: Muigizaji Grace Mapunda (Tessa) amefariki dunia
Huwa anaponya wasio maarufu Wala wasio na followers kwenye mitandao ya kijamii so hatujuagi kama wanaponaga au lahNadhani hii ilikuwa fursa nzuri kwake kuthibitisha "utume" wake wa kufufua wafu baada ya kushindwa "kumponya" Marehemu!
Binadamu tunayo tabu! Hata atakapokuja Dajjal (Anti-Christ) atapata wafuasi wa kutosha!
Wajinga ndio waliwaoWiki iliyopita alizika msaidizi wake wa karibu,katika ibada alimshukuru sana Prof Janabi na wenzake kwa kusaidia kumtibu marehemu.Alijua kabisa maji na mafuta yake hayawezi kumponya akatafuta msaada kwa Janabi
Jumapili iliyofuata anaenda kuwaambia misukule pokeeni uponyaji kwa maji na mafuta na yenyewe inashangilia
Una dhambi sana kutuvunja mbavu katikati ya kilioNawaza kwa sauti "huyu jamaa si aahirishe tu ibada amfufue tu marehemu watu wasambae na sisi wagalatia tuliorogwa tumwanini"
Nadhani Gwajima ndiyo hufufua watu.Nawaza kwa sauti "huyu jamaa si aahirishe tu ibada amfufue tu marehemu watu wasambae na sisi wagalatia tuliorogwa tumwanini"