Mwamposa hebu nawe iga huu Ustaarabu wa Mwalimu Mwakasege

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mwalimu Mwakasege anaanza Ibada on time Saa 10 Kamili na Saa 12 Kamili kamaliza ( anamaliza )

Wewe ( Mwamposa ) unaanza muda usioeleweka na Kumaliza muda mbaya ( usioeleweka ) kiasi kwamba 95% ya Waumini wako hupata Adha Kubwa ya Usafiri na wengine kukosa Nauli na Kuturahisishia Masela ( Wahuni ) Kazi ya kuwapa Nauli na Lift baada ya Kuwabandua kwa Kutukuka.

Mwalimu Mwakasege ni Mstaarabu mno na ndiyo maana unaona hata 99.9% ya Waumini wake, wanaompenda na wanaomuamini ni wale Wasomi na wenye Uelewa mpana na Akili Kubwa tofauti na Unaowadanganya na Kuwafanya Mazoba ( Mazuzu ) kila Uchao.
 
Mwamposa msala ulipotokea Moshi aliwakacha waumini wake kwa gari na kuacha ndege yake akihisi ndege inaenda taratibu kuliko gari itamchelewesha.
 
Mwalimu Mwakasege anaanza Ibada on time Saa 10 Kamili na Saa 12 Kamili kamaliza ( anamaliza )

Wewe ( Mwamposa ) unaanza muda usioeleweka na Kumaliza muda mbaya ( usioeleweka ) kiasi kwamba 95% ya Waumini wako hupata Adha Kubwa ya Usafiri na wengine kukosa Nauli na Kuturahisishia Masela ( Wahuni ) Kazi ya kuwapa Nauli na Lift baada ya Kuwabandua kwa Kutukuka.

Mwalimu Mwakasege ni Mstaarabu mno na ndiyo maana unaona hata 99.9% ya Waumini wake, wanaompenda na wanaomuamini ni wale Wasomi na wenye Uelewa mpana na Akili Kubwa tofauti na Unaowadanganya na Kuwafanya Mazoba ( Mazuzu ) kila Uchao.
Hivi hawa wana mazingaombwe wanawapa nini kondoo??
 
Back
Top Bottom