THE BIG SHOWKweli Hananja. msanii wa dini, Mwamposa Msanii wa Dini leo ndio wa officiate sala ya ufunguzi?
Nchi hii ina vituko.
BAKWATA walikuwepo
Je ni kweli kwamba hapendi?Mwamposa wanamuweka katika wakati mgumu sana.
Hapendi ila atafanyaje.
Usijali Mwamposa wewe uliwaalika wakaja, yakupasa kulipa fadhira.
Bora Mwamposa ila Hananja?? Kweli ccm imechokwaChadema hamkosi neno!
""Mungu ni wa wote, mungu ni upanga ukatao kuwili.......