Mwamposa na Lugumi mnawafanya Watanzania hawana akili ya kugundua mchezo wenu kuhusu ujenzi wa ghorofa za yatima Dar

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Yaani Mwamposa umeona ukisema hizo Nyumba ni zako Utasababisha Waumini wako unaowakamua Kutwa waanze Kukukacha hivyo ukamtafuta Rafiki yako Lugumi kwakuwa Yeye ni Mfanyabishara basi ajifanye ni zake kisha Wewe ucheze Mchezo wa Waandishi wa Habari wajifanye wanakuja Kukuhoji kisha uanze Kumsifia Lugumi na ujifichie katika Kimvuli chake.

Soma Pia:
Na wenye Akili tunajua nyuma ya hizo Nyumba kuna Jambo na nasikia mtazijenga nchi nzima na kuna Mtu mkubwa sana atawasifieni Siku si nyingi kwa hizo Nyumba kisha nae ataweka mzigo ili mpango fulani wa Kuvuna Fedha na kufanya Uwekezaji mkubwa wa Kibiashara wa muda mrefu utimie.

Siyo kila Mtanzania ana Akili nzito za kutoweza kutambua Jambo kama mlilolifanya.
 
Yaani Mwamposa umeona ukisema hizo Nyumba ni zako Utasababisha Waumini wako unaowakamua Kutwa waanze Kukukacha hivyo ukamtafuta Rafiki yako Lugumi kwakuwa Yeye ni Mfanyabishara basi ajifanye ni zake kisha Wewe ucheze Mchezo wa Waandishi wa Habari wajifanye wanakuja Kukuhoji kisha uanze Kumsifia Lugumi na ujifichie katika Kimvuli chake.

Na wenye Akili tunajua nyuma ya hizo Nyumba kuna Jambo na nasikia mtazijenga nchi nzima na kuna Mtu mkubwa sana atawasifieni Siku si nyingi kwa hizo Nyumba kisha nae ataweka mzigo ili mpango fulani wa Kuvuna Fedha na kufanya Uwekezaji mkubwa wa Kibiashara wa muda mrefu utimie. Siyo kila Mtanzania ana Akili nzito za kutoweza kutambua Jambo kama mlilolifanya.
Kumekucha
 
Kazi ya fasihi hutungwa wakati mwingine ku-reflect maisha ya jamii fulani. Kwamba, mambo yapo duniani.

Kuna tamthiliya ya brothers kutoka Ufilipino ilioneshwa Startimes miaka iliyopita hivi karibuni ilikuwa na visa vya kimafia sana.

Kisa kimojawapo, matajiri fulani walikuwa wanaendesha kituo cha kulelea watoto yatima kumbe michezo yao ni kuwauza watoto kwenda kuwatolea figo. Askari mmoja Cardo ndio alikuwa anapambana na huo umafia lakini alikuwa akipata upinzani mkali kwa sababu hao matajiri walikuwa na nguvu mpaka serikalini.
 
Kama hukusoma Cuba kamwe hutoelewa Ujumbe muhimu ambao umesemwa hapa na Serikali yapaswa kuwa Macho.
 
Kazi ya fasihi hutungwa wakati mwingine ku-reflect maisha ya jamii fulani. Kwamba, mambo yapo duniani.

Kuna tamthiliya ya brothers kutoka Ufilipino ilioneshwa Startimes miaka iliyopita hivi karibuni ilikuwa na visa vya kimafia sana.

Kisa kimojawapo, matajiri fulani walikuwa wanaendesha kituo cha kulelea watoto yatima kumbe michezo yao ni kuwauza watoto kwenda kuwatolea figo. Askari mmoja Cardo ndio alikuwa anapambana na huo umafia lakini alikuwa akipata upinzani mkali kwa sababu hao matajiri walikuwa na nguvu mpaka serikalini.
Aisee!
 
Back
Top Bottom