Mwamposa, ni vyema ukarekebisha baadhi ya vitu ambavyo ni kero kwa waumini wako na jamii kwa ujumla

Huna akili kabis

Huna akili kabisa ya kujitambuwa, mtu mwenye akili hawezi kwenda kwa matapeli hao
nenda kwa ajili ya kufanya uchunguzi kama mimi nilivoenda nikanasa....afu mkuu sio ajabu wewe kwa mwamposa huendi lakini kwa mganga au unaenda, na kama hujawahi kwenda popote kushughulikia matatizo yako basi hayajakukuta mkuu, may be we ni mtoto wa kishua hujawahi pitia shida so kaa na mzazi wako akupe mbinu alizopitia mpaka akafikia mafanikio. ukija kupata shida utaskiliza kila ushauri mbaya/mzuri kwa lengo tu la kutatua changamoto zako
 
Naamini katika uwezo wa Mungu lakini sio kupitia Mwamposa. Namuona ni nabii wa uongo asiyekemea dhambi wala kuwa na fadila yoyote ya kikristo. Kwanini watu bado wanamwamini hata baada ya kuona kuwa ni mpiga sadaka?!
Sijafundishwa kumhukumu mungu pasipo kujiridhisha, afu kwa mambo ya kimungu sinaga masiara kabisa...waga namuachia mungu nashika kile anachokifundisha ambacho hakifundishi sitomjudge na akifundisha nje biblia soul alarm inagongaa
 
Sijafundishwa kumhukumu mungu pasipo kujiridhisha, afu kwa mambo ya kimungu sinaga masiara kabisa...waga namuachia mungu nashika kile anachokifundisha ambacho hakifundishi sitomjudge na akifundisha nje biblia soul alarm inagongaa
Mkristo kweli unamwamini mtu alisababisha vifo vya watu 20 kule Moshi katika kukanyaga mafuta ya upako na baada ya mwezi mmoja akatunukiwa shahada ya Phd kutoka chuo cha huko Nigeria!! Akina Geo Davie wanafanya mashindano ya u miss kanisani mnawaamini kweli?!

Sikiliza anachosema mtu wenu hapa kuhusu wenzake. Ombeni hekima ya Mungu.

file:///var/mobile/Library/SMS/Attachments/85/05/B9E9E771-3C60-4DE2-8EB0-BD296E605D6E/8847b96a-39d4-47c7-b83f-d97c1d114027.MP4
 
Mimi hii sababu ya kwanza ibada kuwa ndefu mpaka usiku ndo mtihani mkubwa kwangu ndio maana sikai mpaka mwisho maana najua nikitoka usiku au jioni sana daladala zitakuwa changamoto kuzipata
 
Hongera kwa mawazo mazuri.
 
Mmekosea sana.na mam Ako mzazi hapazwi kuwa msela Kia's Cha mama Ako namshanga sna haendi kanisani Wala hatoi sadaka ,fungu la kumi ,malimbuko,shukrani za pekee yukoyuko tu

Ni hatari San kwa mzazi wa Aina hyo
 
Ila kuna wafanyakazi wengi wanaolipwa mishahara walinzi wahudumu usafi mashushushu na wa kawaida na chakula kinapikwa wanakula wafanyakazi wote na wagonjwa n.k mimi si muumini wa pale ila kuna kazi nyingi zinazofanyika pale
Uko sahih Sana wameajiriwa wengi Sana ambapo serkali wameshindwa kuwaajiri
 
Naamini katika uwezo wa Mungu lakini sio kupitia Mwamposa. Namuona ni nabii wa uongo asiyekemea dhambi wala kuwa na fadila yoyote ya kikristo. Kwanini watu bado wanamwamini hata baada ya kuona kuwa ni mpiga sadaka?!
Tutaamuamini vzr tu
 
Bora umemueleza ukweli mtupu
 
Kama ni mtumishi WA kweli WA Mungu maombi Yao huwa yako effective maana Wamewekwa kama makuhani
 
Haya mambo haya. Nina binti mkubwa anasoma chuo fulani sasa siku moja walienda Mafinga na marafiki zake wawili. Jumapili moja wakasema waende kanisani wakaenda kanisa moja la nabii fulani hapo Mafinga.

Yule nabii akawaita mbele na kuanza kuwauliza. Nani ni mkubwa kati yenu. Wakatajana pale eti Nabii akaanza kuwatabiria kuwa huyu Mdogo wenu ndio amependwa na mizimu ya kwenu wakati sio ndio ni marafiki na wote wana wazazi tofauti.

Ikabidi wacheke kwani nabii anadanganya. Nabii akaanza kusema haya yanayocheka ni mapepo waliyonayo na sio wao. Huku Nyuma waamini wakaanza kuwaombea na kukemea Mapepo. Nabii akawawekea mkono na kuwaombea huku anawatuma waandike, wakakaza hawajaanguka ila Yule Mdogo akambana kwa nguvu kichwani na kumsukuma kwa kuwa alikuwa na viatu virefu akaanguka.

Rti alipoanguka Nabii akasema, Mizimu imemuachia so watoe sadaka ya Fungu la Kumi pamoja na zaka. Hahaaaaaaa, baada ya ibada kuisha wakaondoka bila kutoa hiyo sadaka. Jamaa sasa wana upuuzi mwingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…