MWAMPOSA: Unforgettable overnight tutumalizana na HIV, Nuksi, Mikosi, Mabalaa, Siasa na kama kila unachokifanya hakifanikiwi Kawe inakuhusu

Nitakuwepo
 
Mimi ni mwanga ambae mara nyigi nikirogo virogo havileti madhara nayoyataka. Niende na nn mkuu ?
 
Nimeshaingia Kawe
 
Maombi makubwa ni kukombolewa kwa watanganyika kutoka kwa mkoloni mweusi, na pepo la uchawa.
 
Mfanya biashara akiita wateja wake.ndo maisha Kuna wanaokula na wanaoliwa
 
mchungaji ana lipa namba 😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…