a big maybe; but than if one can preach for 24 hours and 'guarantee wide their advert' of healing people than this person can also preach the same at Ocean Road?What matters is faith
stepping towards an altar is what we çall one's faitha big maybe; but than if one can preach for 24 hours and 'guarantee wide their advert' of healing people than this person can also preach the same at Ocean Road?
Mathambi unayo weweNimeacha matusi siku hizi, ila huyu mwamba ana mazombi ya kuosha!
Nitakuwepo na familia yangu,Mungu tusaidieNitumie jukwaa hili kuwaalika na kuwakaribisha kwenye mkesha mkubwa ambao wewe na jamaa yako hamtausahau kwenye maisha yenu yote kama anavyosema Apostle Boniface Godwin Mwamposa wa huduma ya maombi na maombezi ya Arise & Shine Kawe jijini Dar es salaam Tanzania.
Bila kujali dini yako fanya haya ;-
1. Kama unaumwa ugonjwa wowote ule hata kama madaktari Wamesema hautapona au ndugu yako anaumwa njoo na picha yake au njoo wewe uandike jina lake na ufute hiyo kesi utanishukuru.
2. Kama timu yako ya Mpira au wewe mwenyewe hauna bahati ya kufunga Magori kama Kibu Denis wa Simba njooni Ijumaa tukeshe Kawe.
3. Kama wewe ni bondia na unapigwa Kila shindano kama Dula Mbabe njoo na gloves zako tukeshe utanishukuru.
4. Kama wewe ni mwanafunzi na unafeli Kila mtihani njoo wewe au mzazi wako na matokeo yako tukeshe.
5. Kama ndoa au uchumba unazingua wenzako wote wameolewa wewe bado mchumba njoo tukeshe utanishukuru.
6. Kama huelewi elewi tu mambo yanayokupata au kutokea njoo tukeshe,
7. Kama unajenga nyumba haumalizi njoo na udongo wa hilo eneo tukeshe,
8. Kama unafanya Biashara na hupati wateja njoo na udongo wa eneo lako la biashara,
9. Kama unaboda na hupati wateja njoo na kadi ya pikipiki au funguo tukeshe.
9. Kama huna kazi au umefukuzwa kazi njoo na jina la mwajiri na nyaraka kama chetu au zozote tukeshe.
10. Kama unataka kwenda nje ya nchi njoo na jina la hiyo nchi.
11. Kama unataka kuwa tajiri njoo uandike level ya utajiri unayoitaka kama ni milionea, bilionea etc
12. Kama unataka kibali kwenye sanaa njoo tukeshe
13. Kama unataka waliokuloga wafe wote njoo tukeshe.
14. Kama unataka urudishiwe ulivyopoteza njoo na majina ya hivyo vitu vilivyopotea hata kama ni miaka 20.
15. Kama unataka kwenda Mbinguni ukiwa unatabasamu njoo tukeshe na Mtume Boniface Bulldozer Mwamposa.
16. Nakama unajambo lolote ambalo sijalitaja hapa Mungu atalifanya chini ya Mtumishi wake Mwaminifu Mwamposa.
17. Kama huamini pia njoo ufanye ku-test tu kama ni kweli utanishukuru Mimi kukupa hii taarifa.
Ni mimi na ni mimi tu kuwaleteeni taarifa hii ya Ukombozi wenu na watoto wenu na watoto wa watoto wenu na Mimi basi nitendewe kama alivyonena Mtumishi wa Mungu kuhusu kupeleka habari hii njema ya Ukombozi -Amen
#Nawewe sambaza taarifa hii kwa watu 12 utaona matokeo hata kabla ya mkesha huu.
Kingereza nacho ni tatizo kubwastepping towards an altar is what we çall one's faith
Nipo hapa mpaka ijumaaNitumie jukwaa hili kuwaalika na kuwakaribisha kwenye mkesha mkubwa ambao wewe na jamaa yako hamtausahau kwenye maisha yenu yote kama anavyosema Apostle Boniface Godwin Mwamposa wa huduma ya maombi na maombezi ya Arise & Shine Kawe jijini Dar es salaam Tanzania.
Bila kujali dini yako fanya haya ;-
1. Kama unaumwa ugonjwa wowote ule hata kama madaktari Wamesema hautapona au ndugu yako anaumwa njoo na picha yake au njoo wewe uandike jina lake na ufute hiyo kesi utanishukuru.
2. Kama timu yako ya Mpira au wewe mwenyewe hauna bahati ya kufunga Magori kama Kibu Denis wa Simba njooni Ijumaa tukeshe Kawe.
3. Kama wewe ni bondia na unapigwa Kila shindano kama Dula Mbabe njoo na gloves zako tukeshe utanishukuru.
4. Kama wewe ni mwanafunzi na unafeli Kila mtihani njoo wewe au mzazi wako na matokeo yako tukeshe.
5. Kama ndoa au uchumba unazingua wenzako wote wameolewa wewe bado mchumba njoo tukeshe utanishukuru.
6. Kama huelewi elewi tu mambo yanayokupata au kutokea njoo tukeshe,
7. Kama unajenga nyumba haumalizi njoo na udongo wa hilo eneo tukeshe,
8. Kama unafanya Biashara na hupati wateja njoo na udongo wa eneo lako la biashara,
9. Kama unaboda na hupati wateja njoo na kadi ya pikipiki au funguo tukeshe.
9. Kama huna kazi au umefukuzwa kazi njoo na jina la mwajiri na nyaraka kama chetu au zozote tukeshe.
10. Kama unataka kwenda nje ya nchi njoo na jina la hiyo nchi.
11. Kama unataka kuwa tajiri njoo uandike level ya utajiri unayoitaka kama ni milionea, bilionea etc
12. Kama unataka kibali kwenye sanaa njoo tukeshe
13. Kama unataka waliokuloga wafe wote njoo tukeshe.
14. Kama unataka urudishiwe ulivyopoteza njoo na majina ya hivyo vitu vilivyopotea hata kama ni miaka 20.
15. Kama unataka kwenda Mbinguni ukiwa unatabasamu njoo tukeshe na Mtume Boniface Bulldozer Mwamposa.
16. Nakama unajambo lolote ambalo sijalitaja hapa Mungu atalifanya chini ya Mtumishi wake Mwaminifu Mwamposa.
17. Kama huamini pia njoo ufanye ku-test tu kama ni kweli utanishukuru Mimi kukupa hii taarifa.
Ni mimi na ni mimi tu kuwaleteeni taarifa hii ya Ukombozi wenu na watoto wenu na watoto wa watoto wenu na Mimi basi nitendewe kama alivyonena Mtumishi wa Mungu kuhusu kupeleka habari hii njema ya Ukombozi -Amen
#Nawewe sambaza taarifa hii kwa watu 12 utaona matokeo hata kabla ya mkesha huu.
NitakuwepoNitumie jukwaa hili kuwaalika na kuwakaribisha kwenye mkesha mkubwa ambao wewe na jamaa yako hamtausahau kwenye maisha yenu yote kama anavyosema Apostle Boniface Godwin Mwamposa wa huduma ya maombi na maombezi ya Arise & Shine Kawe jijini Dar es salaam Tanzania.
Bila kujali dini yako fanya haya ;-
1. Kama unaumwa ugonjwa wowote ule hata kama madaktari Wamesema hautapona au ndugu yako anaumwa njoo na picha yake au njoo wewe uandike jina lake na ufute hiyo kesi utanishukuru.
2. Kama timu yako ya Mpira au wewe mwenyewe hauna bahati ya kufunga Magori kama Kibu Denis wa Simba njooni Ijumaa tukeshe Kawe.
3. Kama wewe ni bondia na unapigwa Kila shindano kama Dula Mbabe njoo na gloves zako tukeshe utanishukuru.
4. Kama wewe ni mwanafunzi na unafeli Kila mtihani njoo wewe au mzazi wako na matokeo yako tukeshe.
5. Kama ndoa au uchumba unazingua wenzako wote wameolewa wewe bado mchumba njoo tukeshe utanishukuru.
6. Kama huelewi elewi tu mambo yanayokupata au kutokea njoo tukeshe,
7. Kama unajenga nyumba haumalizi njoo na udongo wa hilo eneo tukeshe,
8. Kama unafanya Biashara na hupati wateja njoo na udongo wa eneo lako la biashara,
9. Kama unaboda na hupati wateja njoo na kadi ya pikipiki au funguo tukeshe.
9. Kama huna kazi au umefukuzwa kazi njoo na jina la mwajiri na nyaraka kama chetu au zozote tukeshe.
10. Kama unataka kwenda nje ya nchi njoo na jina la hiyo nchi.
11. Kama unataka kuwa tajiri njoo uandike level ya utajiri unayoitaka kama ni milionea, bilionea etc
12. Kama unataka kibali kwenye sanaa njoo tukeshe
13. Kama unataka waliokuloga wafe wote njoo tukeshe.
14. Kama unataka urudishiwe ulivyopoteza njoo na majina ya hivyo vitu vilivyopotea hata kama ni miaka 20.
15. Kama unataka kwenda Mbinguni ukiwa unatabasamu njoo tukeshe na Mtume Boniface Bulldozer Mwamposa.
16. Nakama unajambo lolote ambalo sijalitaja hapa Mungu atalifanya chini ya Mtumishi wake Mwaminifu Mwamposa.
17. Kama huamini pia njoo ufanye ku-test tu kama ni kweli utanishukuru Mimi kukupa hii taarifa.
Ni mimi na ni mimi tu kuwaleteeni taarifa hii ya Ukombozi wenu na watoto wenu na watoto wa watoto wenu na Mimi basi nitendewe kama alivyonena Mtumishi wa Mungu kuhusu kupeleka habari hii njema ya Ukombozi -Amen
#Nawewe sambaza taarifa hii kwa watu 12 utaona matokeo hata kabla ya mkesha huu.
Muda umefika SASA,Twende na sisi tukachukue mafuta tupate teuzi..!🤸
Mimi nimeshapona, Mafuta ya upako yanatibu vyoteMoshi: Watu 20 wapoteza maisha kwa kukanyagana kwenye Ibada ya Mwamposa; Polisi wathibitisha kumshikilia
Waumini 18 wa Dini ya Kikristo wamefariki dunia usiku huu mjini Moshi, wakati wakikanyagana kugombea kukanyaga mafuta ya upako katika kongamano la kidini la Mtume Boniface Mwamposa, DC wa Moshi Kippi Warioba amethibitisha Updates: 00:45 Idadi ya watu waliopoteza maisha kwa kukanyagana imefikia...www.jamiiforums.com
Nawaombea mtoke salama hapo
Yani upone HIV....please jamani 😂
Utabaki hivyo hivyo wakati wenzako wanaona matando ma kuu ya kristo katika maisha yao.Siku zote wajinga ndiyo waliwao.
Kabisa kabisaUtabaki hivyo hivyo wakati wenzako wanaona matando ma kuu ya kristo katika maisha yao.
Wanaona nini? Yakoje hayo matando ili na mimi nikayaone!Utabaki hivyo hivyo wakati wenzako wanaona matando ma kuu ya kristo katika maisha yao.
Una maana gani mkuu wangu?
Wewe fika najua hutajuta kamweWanaona nini? Yakoje hayo matando ili na mimi nikayaone!
Watu ni wengi sana hakika hapa Mungu yupo kwani mwitikio wa watu ndio mwitikio wa MunguNitumie jukwaa hili kuwaalika na kuwakaribisha kwenye mkesha mkubwa ambao wewe na jamaa yako hamtausahau kwenye maisha yenu yote kama anavyosema Apostle Boniface Godwin Mwamposa wa huduma ya maombi na maombezi ya Arise & Shine Kawe jijini Dar es salaam Tanzania.
Bila kujali dini yako fanya haya ;-
1. Kama unaumwa ugonjwa wowote ule hata kama madaktari Wamesema hautapona au ndugu yako anaumwa njoo na picha yake au njoo wewe uandike jina lake na ufute hiyo kesi utanishukuru.
2. Kama timu yako ya Mpira au wewe mwenyewe hauna bahati ya kufunga Magori kama Kibu Denis wa Simba njooni Ijumaa tukeshe Kawe.
3. Kama wewe ni bondia na unapigwa Kila shindano kama Dula Mbabe njoo na gloves zako tukeshe utanishukuru.
4. Kama wewe ni mwanafunzi na unafeli Kila mtihani njoo wewe au mzazi wako na matokeo yako tukeshe.
5. Kama ndoa au uchumba unazingua wenzako wote wameolewa wewe bado mchumba njoo tukeshe utanishukuru.
6. Kama huelewi elewi tu mambo yanayokupata au kutokea njoo tukeshe,
7. Kama unajenga nyumba haumalizi njoo na udongo wa hilo eneo tukeshe,
8. Kama unafanya Biashara na hupati wateja njoo na udongo wa eneo lako la biashara,
9. Kama unaboda na hupati wateja njoo na kadi ya pikipiki au funguo tukeshe.
9. Kama huna kazi au umefukuzwa kazi njoo na jina la mwajiri na nyaraka kama chetu au zozote tukeshe.
10. Kama unataka kwenda nje ya nchi njoo na jina la hiyo nchi.
11. Kama unataka kuwa tajiri njoo uandike level ya utajiri unayoitaka kama ni milionea, bilionea etc
12. Kama unataka kibali kwenye sanaa njoo tukeshe
13. Kama unataka waliokuloga wafe wote njoo tukeshe.
14. Kama unataka urudishiwe ulivyopoteza njoo na majina ya hivyo vitu vilivyopotea hata kama ni miaka 20.
15. Kama unataka kwenda Mbinguni ukiwa unatabasamu njoo tukeshe na Mtume Boniface Bulldozer Mwamposa.
16. Nakama unajambo lolote ambalo sijalitaja hapa Mungu atalifanya chini ya Mtumishi wake Mwaminifu Mwamposa.
17. Kama huamini pia njoo ufanye ku-test tu kama ni kweli utanishukuru Mimi kukupa hii taarifa.
Ni mimi na ni mimi tu kuwaleteeni taarifa hii ya Ukombozi wenu na watoto wenu na watoto wa watoto wenu na Mimi basi nitendewe kama alivyonena Mtumishi wa Mungu kuhusu kupeleka habari hii njema ya Ukombozi -Amen
#Nawewe sambaza taarifa hii kwa watu 12 utaona matokeo hata kabla ya mkesha huu.
Mkesha mkubwa unakuja huu ni kweliNitumie jukwaa hili kuwaalika na kuwakaribisha kwenye mkesha mkubwa ambao wewe na jamaa yako hamtausahau kwenye maisha yenu yote kama anavyosema Apostle Boniface Godwin Mwamposa wa huduma ya maombi na maombezi ya Arise & Shine Kawe jijini Dar es salaam Tanzania.