CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
- Thread starter
-
- #141
Usimjaribu bwana Mungu wako japo hashindwi chochoteUende ukachukue mafuta upake simu yako bando litakuwa halikati na hutowalalamikia kamwe watoa huduma za internet๐๐๐๐
Kama wafuasi wa shetani wasivyotulia usiku na mchana watu wa Mungu pia lazima wafanye mikesha na makongomano kwa wingiKila wakati kuna mikesha, kwan mikesha iliyopita watu wanakuwa hawaponi hvy wanazidi kuletewa mikesha mngn
Namba 10.View attachment 3029552
Team Jf,
Nitumie jukwaa hili kuwaalika kwenye mkesha mkubwa ambao hautausahau na Jamii yako kwenye maisha yenu kama anavyosema Apostle Boniface Godwin Mwamposa wa huduma ya Arise & Shine Kawe Tanzania.
Bila kujali dini yako fanya haya ;-
1. Kama unaumwa ugonjwa wowote ule hata kama madaktari Wamesema huponi au ndugu yako anaumwa njoo na picha yake au njoo uandike jina lake utanishukuru.
2. Kama timu yako ya Mpira au wewe mwenyewe hauna bahati ya Magori kama Kibu Denis wa Simba njooni Ijumaa tukeshe Kawe.
3. Kama wewe ni bondia na unapigwa Kila shindano njoo na gloves zako tukeshe.
4. Kama wewe ni mwanafunzi na unafeli Kila mtihani njoo wewe au mzazi wako tukeshe na matokeo yako.
5. Kama ndoa au uchumba unazingua njoo tukeshe utanishukuru.
6. Kama huelewi elewi tu mambo yanayojupa au kutokea njoo tukeshe,
7. Kama unajenga nyumba haumalizi njoo na udongo wa hilo eneo tukeshe,
8. Kama unafanya Biashara na hupati wateja njoo na udongo wa eneo lako la biashara,
9. Kama unaboda na hupati wateja njoo na kadi ya pikipiki au funguo tukeshe.
9. Kama huna kazi au umefukuzwa kazi njoo na jina la mwajiri na nyaraka kama chetu au yoyote tukeshe.
10. Kama unataka kwenda nje ya nchi njoo na jina la hiyo nchi.
11. Kama unataka kuwa tajiri njoo uandike level ya utajiri unayotaka kama ni milionea, bilionea etc
12. Kama unataka kibali kwenye sanaa njoo tukeshe
13. Kama unataka waliokuloga wafe wote njoo tukeshe.
14. Kama unataka urudishiwe ulivyopoteza njoo na majina ya hivyo vitu.
15. Kama unataka kwenda Mbinguni ukiwa unatabasamu njoo tukeshe na Mtume Boniface Bulldozer Mwamposa.
16. Nakama unajambo lolote ambalo sijalitaja hapa Mungu atalifanya chini ya Mtumishi wake Mwamini Mwamposa.
17. Kama huamini pia njoo ufanye ku-test tu kama ni kweli utanishukuru Mimi kukupa hii taarifa.
Ni mimi na ni mimi tu kuwaleteeni taarifa hii ya Ukombozi wenu na watoto wenu na watoto wa watoto wenu na Mimi basi nitendewe kama alivyonena Mtumishi wa Mungu kuhusu kupeleka habari hii ya Ukombozi -Amen
#Nawewe sambaza taarifa hii kwa watu 12 utaona matokeo hata kabla ya mkesha huu.
Muhasibu OKW BOBAN SUNZU hii inamuhusuDuuh hadi kibu d katajwa kumbe Hali ni mbaya kiasi hiki
Bado hujanijibu swali langu.Kama wafuasi wa shetani wasivyotulia usiku na mchana watu wa Mungu pia lazima wafanye mikesha na makongomano kwa wingi
Huyu fala analeta mambo ya ushabikiMuhasibu OKW BOBAN SUNZU hii inamuhusu
AahaaaaaHuyu fala analeta mambo ya ushabiki
Simamia na moyo huo huoNakuja kuwanyoosha wanaonitesa
Ila huu ni utapeli wa dini...View attachment 3029552
Team Jf,
Nitumie jukwaa hili kuwaalika kwenye mkesha mkubwa ambao hautausahau na Jamii yako kwenye maisha yenu kama anavyosema Apostle Boniface Godwin Mwamposa wa huduma ya Arise & Shine Kawe Tanzania.
Bila kujali dini yako fanya haya ;-
1. Kama unaumwa ugonjwa wowote ule hata kama madaktari Wamesema huponi au ndugu yako anaumwa njoo na picha yake au njoo uandike jina lake utanishukuru.
2. Kama timu yako ya Mpira au wewe mwenyewe hauna bahati ya Magori kama Kibu Denis wa Simba njooni Ijumaa tukeshe Kawe.
3. Kama wewe ni bondia na unapigwa Kila shindano njoo na gloves zako tukeshe.
4. Kama wewe ni mwanafunzi na unafeli Kila mtihani njoo wewe au mzazi wako tukeshe na matokeo yako.
5. Kama ndoa au uchumba unazingua njoo tukeshe utanishukuru.
6. Kama huelewi elewi tu mambo yanayojupa au kutokea njoo tukeshe,
7. Kama unajenga nyumba haumalizi njoo na udongo wa hilo eneo tukeshe,
8. Kama unafanya Biashara na hupati wateja njoo na udongo wa eneo lako la biashara,
9. Kama unaboda na hupati wateja njoo na kadi ya pikipiki au funguo tukeshe.
9. Kama huna kazi au umefukuzwa kazi njoo na jina la mwajiri na nyaraka kama chetu au yoyote tukeshe.
10. Kama unataka kwenda nje ya nchi njoo na jina la hiyo nchi.
11. Kama unataka kuwa tajiri njoo uandike level ya utajiri unayotaka kama ni milionea, bilionea etc
12. Kama unataka kibali kwenye sanaa njoo tukeshe
13. Kama unataka waliokuloga wafe wote njoo tukeshe.
14. Kama unataka urudishiwe ulivyopoteza njoo na majina ya hivyo vitu.
15. Kama unataka kwenda Mbinguni ukiwa unatabasamu njoo tukeshe na Mtume Boniface Bulldozer Mwamposa.
16. Nakama unajambo lolote ambalo sijalitaja hapa Mungu atalifanya chini ya Mtumishi wake Mwamini Mwamposa.
17. Kama huamini pia njoo ufanye ku-test tu kama ni kweli utanishukuru Mimi kukupa hii taarifa.
Ni mimi na ni mimi tu kuwaleteeni taarifa hii ya Ukombozi wenu na watoto wenu na watoto wa watoto wenu na Mimi basi nitendewe kama alivyonena Mtumishi wa Mungu kuhusu kupeleka habari hii ya Ukombozi -Amen
#Nawewe sambaza taarifa hii kwa watu 12 utaona matokeo hata kabla ya mkesha huu.
Bado mnamwamini huyu jamaa?watz tumerogwaView attachment 3029552

Wanafanya sana tu ndg yanguHv hii mikesha ya "kumuomba Mungu" Huwa inafanyika na nchi kama China, Korea, ya kusini, Taiwan, Luxembourg, nk? Ili kutatua shida za kiuchumi, uchawi nk?
Au, ni bongo tu, ndio kuna vilaza na mataperi wanaoaminisha watu kuwa unaweza kutatua shida zako za kiuchumi, afya, jamii,kipato, kwa kukesha unaomba na kutoa sadaka ya kujimaliza kwa "pastor"
Kwenye huo mkesha akiwepo bakheresa, GSM, nami nitakuja
Afrika na Tanzania, tunaangamia kwa kukosa maarifaView attachment 3029552
Team Jf,
Nitumie jukwaa hili kuwaalika kwenye mkesha mkubwa ambao hautausahau na Jamii yako kwenye maisha yenu kama anavyosema Apostle Boniface Godwin Mwamposa wa huduma ya Arise & Shine Kawe Tanzania.
Bila kujali dini yako fanya haya ;-
1. Kama unaumwa ugonjwa wowote ule hata kama madaktari Wamesema huponi au ndugu yako anaumwa njoo na picha yake au njoo uandike jina lake utanishukuru.
2. Kama timu yako ya Mpira au wewe mwenyewe hauna bahati ya Magori kama Kibu Denis wa Simba njooni Ijumaa tukeshe Kawe.
3. Kama wewe ni bondia na unapigwa Kila shindano njoo na gloves zako tukeshe.
4. Kama wewe ni mwanafunzi na unafeli Kila mtihani njoo wewe au mzazi wako tukeshe na matokeo yako.
5. Kama ndoa au uchumba unazingua njoo tukeshe utanishukuru.
6. Kama huelewi elewi tu mambo yanayojupa au kutokea njoo tukeshe,
7. Kama unajenga nyumba haumalizi njoo na udongo wa hilo eneo tukeshe,
8. Kama unafanya Biashara na hupati wateja njoo na udongo wa eneo lako la biashara,
9. Kama unaboda na hupati wateja njoo na kadi ya pikipiki au funguo tukeshe.
9. Kama huna kazi au umefukuzwa kazi njoo na jina la mwajiri na nyaraka kama chetu au yoyote tukeshe.
10. Kama unataka kwenda nje ya nchi njoo na jina la hiyo nchi.
11. Kama unataka kuwa tajiri njoo uandike level ya utajiri unayotaka kama ni milionea, bilionea etc
12. Kama unataka kibali kwenye sanaa njoo tukeshe
13. Kama unataka waliokuloga wafe wote njoo tukeshe.
14. Kama unataka urudishiwe ulivyopoteza njoo na majina ya hivyo vitu.
15. Kama unataka kwenda Mbinguni ukiwa unatabasamu njoo tukeshe na Mtume Boniface Bulldozer Mwamposa.
16. Nakama unajambo lolote ambalo sijalitaja hapa Mungu atalifanya chini ya Mtumishi wake Mwamini Mwamposa.
17. Kama huamini pia njoo ufanye ku-test tu kama ni kweli utanishukuru Mimi kukupa hii taarifa.
Ni mimi na ni mimi tu kuwaleteeni taarifa hii ya Ukombozi wenu na watoto wenu na watoto wa watoto wenu na Mimi basi nitendewe kama alivyonena Mtumishi wa Mungu kuhusu kupeleka habari hii ya Ukombozi -Amen
#Nawewe sambaza taarifa hii kwa watu 12 utaona matokeo hata kabla ya mkesha huu.
Mungu akusameheUpuuzi