Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Katika hali isiyo ya kawaida, kuna tukio linaonyesha mwamuzi akiungana na benchi la ufundi la Namungo kushangilia goli ambalo Steve Nzigamasabo wa Namungo aliitanguliza timu yake mbele. Bila shaka ni mwamuzi wa akiba (fourth official), na nadhani ni suala la kibinadamu tu, alijisahau na asamehewe, ila hata hivyo liwe funzo kwake na waamuzi wengine kuwa unapokuwa mwamuzi unapaswa kuyaweka kando maslahi yako.