Mwamuzi alishangilia goli pekee la Namungo waliloifunga Simba?

Lupweko

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Posts
23,566
Reaction score
24,891
Katika hali isiyo ya kawaida, kuna tukio linaonyesha mwamuzi akiungana na benchi la ufundi la Namungo kushangilia goli ambalo Steve Nzigamasabo wa Namungo aliitanguliza timu yake mbele. Bila shaka ni mwamuzi wa akiba (fourth official), na nadhani ni suala la kibinadamu tu, alijisahau na asamehewe, ila hata hivyo liwe funzo kwake na waamuzi wengine kuwa unapokuwa mwamuzi unapaswa kuyaweka kando maslahi yako.



 
Kima wewe, kaangalie video halafu uje ufute uharo wako hapa...[emoji41]
 
Akushangilia isipokua kiongozi mmoja alimkombatia mwamuz na wakati huo mwamuzi ana wazuia viongozi wa namungo kurudi kwenye benchi lao

Na Vipi mkuu habari ya lamine Moro kwenda ofisini kwa injinia na kuanza kumtwanga makonde sababu kubwa ni injinia kutopokea simu ya lamine inasemekana walinzi walikua karibu wakawai kumuokoa injinia mpaka sasa habari ipoje?
 
Fourth Official anachofanya hapo ni kuwazuia hao bench la Namungo wasivuke touchline na kuingia uwanjani maana ni kinyume na sheria.
 
Umekula? naona unafatilia sana maisha ya watu
 
Badala ya kupandisha uzi na picha za goli la Morrison wanajamii wajadili wewe unaleta uzushi. Wewe utakuwa ndugu wa Kigogo 2014
 
Uchonnganishi huu bila video, how sure hapo lilikua limefungwa goli? what if kama alikua anazuia watu wa bench wasi ingie uwanjani?
Hicho ndicho ninachokiona hapo..mtoa uzi acha uchonganishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…