Mwamuzi aliyesimamia pambano la Mandonga asimamishwa

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa (TPBRC) imemsimamisha kwa muda Mwamuzi Habib Mohammed 'Mkarafuu' ambaye alichezesha pambano kati ya Karim Mandonga dhidi ya Salim Abeid hadi atakapopata Mafunzo ya Uamuzi.

Wali, Rais wa TPBRC, Chaurembo Palasa aliufuta mchezo huo wa Septemba 24, 2022 kutokana na kasoro za kimaamuzi.
 
Sisi na mandonga tu. Jamaa sio professional boxer ila mshehereshaji tu na ndicho watu wanapenda
 
Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa (TPBRC) imemsimamisha kwa muda Mwamuzi Habib Mohammed 'Mkarafuu' ambaye alichezesha pambano kati ya Karim Mandonga dhidi ya Salim Abeid hadi atakapopata Mafunzo ya Uamuzi.

Wali, Rais wa TPBRC, Chaurembo Palasa aliufuta mchezo huo wa Septemba 24, 2022 kutokana na kasoro za kimaamuzi.
Mwanangu huyu, mimi binafsi nilikuwa namjua ni Dereva Boda kule Bagamoyo miaka ya karibuni ndiyo namuina kwenye ngumi
 
Back
Top Bottom