Mwamuzi wa mechi ya leo Coastal Union vs Simba hana uwezo

Mwamuzi wa mechi ya leo Coastal Union vs Simba hana uwezo

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Kiukweli huyu dada Leo nimemuona mchovu sana kuhusu maamuzi yake, huwa najiuliza kama anafuatilia michuano ya kombe la dunia inayoendelea kule Qatar ama la.

Kwanza hajui rafu ni nini, ukiangalia michuano ya kombe la dunia, waamuzi hawapigi filimbi hovyo, huyu dada kwenye faulo yuko kimya, sehemu zisizo na faulo anaweka faulo, halafu anapenda mno kutoa kadi, ameniudh sana leo

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
 
Waamuzi wote wa kike Tanzania ni ovyo, waamuzi wa kiume tia maji tia maji.
 
Soka la Bongo.

Soka letu kivyetu VYETU.

Kikwetu kwetu.

NDIO UWEZOWETU ULIPOISHIA.
KILA SEKTA NI UBABAISHAJI WA HALI YA JUU.

LAANA
 
Refa wa leo nahisi alikuwa ana mimba maana sio kwa maamuzi yale
 
Back
Top Bottom