Kiukweli huyu dada Leo nimemuona mchovu sana kuhusu maamuzi yake, huwa najiuliza kama anafuatilia michuano ya kombe la dunia inayoendelea kule Qatar ama la.
Kwanza hajui rafu ni nini, ukiangalia michuano ya kombe la dunia, waamuzi hawapigi filimbi hovyo, huyu dada kwenye faulo yuko kimya, sehemu zisizo na faulo anaweka faulo, halafu anapenda mno kutoa kadi, ameniudh sana leo