Mwamvita Makamba anusurika kupigwa risasi katika maandamo

billduke

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2013
Posts
860
Reaction score
898
Kupitia kwenye ukurasa wake wa Instragram mwanadada huyo ameelezea jinsi tukio lote lilivyotokea...soma chini hapa������







 
Pole Sana Mwamvita kunusurika maana hao wasouth hawafai kabisa dada yangu !
 
Acha waendelee kuyachochea, tutapukutika sana
 
Asijiachie sana huko syo tz hiyo
 
Near Death Experience!!!
Nina wasiwasi kama unajua vyema dada.
 
Near Death Experience!!!
Nina wasiwasi kama unajua vyema dada.

Haijui huyo dada…near death experience ni zaidi ya kunusurika au kukoswakoswa hiyo kitu ni nyingine kabisa!!!usiombe kuchungulia kaburi!!!
 
Wageni wa kiafrika wanachomwa moto na polis wao wanaangalia tu
 
Hawa wasouth washamba kweli yaani wao wanafukuza waafrika wenzao
 
KWa nini kanusurika jaman? Wangempiga tu, na hao hawana shabaha nfyuuuu
 
Fisadi mmoja akipotea kati ya mamia waliojaa CCM,,, ??

Wamezoea kuwaonea watz kwa kuwapiga mabomu and sometymes kuwa kuwatungua kwa vitu vyenye ncha kali,, nafikiri uchungu ukiwarudia watafahamu ni adha gani watu wanapata.

Mambo mengine Mungu anaweza akaruhusu ili kukufundisha.
 
Daaah...si ingempata ya kichwa tu...!!! ingekuwa kheri kubwa..
 
'Very quickly'
haya bi Mwamvita!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…