Mwamvita Makamba atapeliwa na Sheria Ngowi

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Inakuaje wanaJF,

Katika pitapita zangu Twitter nimekumbana na Tweet moja ya Mwanadada Mwamvita Makamba akidai yeye kama Mwekezaji binafsi katika tasnia ya Fashion ametapeliwa na Mbunifu wa Suti matata Bwana Sheria Ngowi.


Hapo alikuwa akimpa taarifa jamaa anayeendesha kipindi kipya mjini cha Papo Kwa Papo na Papi kinachoruka kila jumatano saa 3 kamili usiku kupitia YouTube na kinakuwa Mubashara.
 
Na kubanduana tena? Kweli Mimi mgeni hapa mjini me nilijua ni washkaji tu kibiashara
Walikua wapenzi mkuu lakini in the name of business partners... nakumbuka hadi kuna Magazine moja walitoka pamoja nilipenda ile interview yao
 
Si alikua anambandua kipindi fulani...
ila nilisikia kipindi huko yule kaka alikua na bidada kwa maslahi yake zaidi... Kumbe na alimtapeli juu
Wakati Mwamvita alipokua akitoka na Ngowi, pale pembeni Bi dada alikua na mpango wa kando unao zungumza kwa lugha ya bepari.
Baada ya pale, Mwamvi na fundi cherehani wakaingia kwenye vuvaaaaa kubwaaaa.....
Mwisho wa siku Ngowi alishindwa nguvu na mwenye ngozi nyeupe, kisha fundi akavuta nguvu kwa Bidada.
Ebu ngoja nianzie mwisho wa ubuyu......
Baada ya Fundi kuvuta mkwanja kwa jina la mkopo toka kwa binti Makamba, pale ndipo ugomvi ulipo vuma kwa kijana kugoma kurejesha nguvu ndefu kwa Mwamvita.
Ebu ngoja nisubiri maswali...[emoji101]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…